DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ma...
*****************************************************
#Post#: 1488--------------------------------------------------
WEMA SEPETU AAMUA 'KUOLEWA'. AENDA KUMTAMBULISHA MUME NYUMBANI
KWAO
DIR By: udaku
Date: March 4, 2015, 7:31 am
---------------------------------------------------------
HTML http://3.bp.blogspot.com/-s55xY_zIa94/VPaz3UzAPgI/AAAAAAAApZc/DT5_AmRMwgw/s1600/Wema_Sepetu_-_bongomovies.png
Kwa mujibu wa tovuti ya Mange, inasemekana mwanadada Wema Sepetu
ameamua kufanya kweli na kwenda kumtambulisha mume wako
mtarajiwa nyumbani kwako Singida tayari kwa mipango ya ndoa.
Kupitia picha iliyowekwa kwenye tovuti hiyo, inayomuonesha
mwanadada Wema akiwa na pete ya ndoa kidoleni anayodaiwa
kuvalishwa na mchumba wake huyo ambaye wapasha habari wa hapa
mjini wanadai ni yule tajiri wa Uganda - Ivan aliyekuwa mume wa
mwanadada Zari ambaye kwa sasa ni mpenzi wa ex wa zamani wa Wema
– Diamond Platnumz.
Wacha BongoMovie iendelee, Sisi yetu macho na masikio.
Tunaisubiri ndoa hii kwa nguvu zote.
Unahisi Diamond na Zari watahudhuria kwenye harusi hii?
#Post#: 1494--------------------------------------------------
Re: WEMA SEPETU AAMUA 'KUOLEWA'. AENDA KUMTAMBULISHA MUME
NYUMBANI KWAO
DIR By: mastory
Date: March 4, 2015, 8:47 am
---------------------------------------------------------
Hawa wanaigiza hawana lolote kesho utasikia wema karudiana na
Diamond
#Post#: 1495--------------------------------------------------
Re: WEMA SEPETU AAMUA 'KUOLEWA'. AENDA KUMTAMBULISHA MUME
NYUMBANI KWAO
DIR By: frankl
Date: March 5, 2015, 2:27 am
---------------------------------------------------------
Wizi mtupu
*****************************************************
Page 1 of 1