URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Jukwaa la wanafunzi Tanzania (JUWATA)
       *****************************************************
       #Post#: 118--------------------------------------------------
       Tazama hapa matokeo ya kidato cha sita 2014
   DIR By: stakeholder
       Date: July 16, 2014, 5:26 am
       ---------------------------------------------------------
       Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 –
       21, yametoka.
       Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa
       waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu
       ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825
       Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54
       Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.
       SHULE 10 ZILIZOONGOZA
       1. Igowole
       2. Feza Boys
       3. Kisimiri
       4. Iwawa
       5. Kibaha
       6. Marian Girls
       7. Nangwa
       8. Uwata
       9. Kibondo
       10. Kawawa
       SHULE 10 ZA MWISHO
       1. Ben Bella
       2. Fidel Castro
       3. Tambaza
       4. MuhezaHigh School
       5. Mazizini
       6. Mtwara Technical
       7. Iyunga technical
       8. Al- falaah Muslim
       9. Kaliua
       10. Osward Mang'ombe
       Kuona matokeo pitia hapa:
  HTML http://www.necta.go.tz/matokeo2014/ACSEE.htm
       MATOKEO KIDATO CHA 6: 95.98% wafaulu kidato cha 6 kutoka 87.9%
       mwaka jana. Tambaza ndani ya shule 10 za mwisho, K/Katibu
       Mtendaji Necta C. Msonde atangaza leo.
       Unahitaji Kupata pesa kwa kuandika ukurasa moja tu wa makala au
       hadithi? soma zaidi hapa
       #Post#: 183--------------------------------------------------
       Re: Tazama hapa matokeo ya kidato cha sita 2014
   DIR By: Nadia
       Date: July 21, 2014, 12:27 pm
       ---------------------------------------------------------
       hiyo shule ya igowole naijua jamani imefanyafanyaje mpaka
       kuongoza? Tena ni shule ya kata!
       *****************************************************
       Page 1 of 1