URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Jukwaa la elimu Tanzania
       *****************************************************
       #Post#: 102--------------------------------------------------
       ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO MAALUMU
       REKEBISHI HII
   DIR By: mastory
       Date: July 13, 2014, 10:24 am
       ---------------------------------------------------------
       ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO MAALUMU
       REKEBISHI
       (BRIDGING COURSE) YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA MASOMO YA
       SAYANSI NA HISABATI KATIKA CHUO CHA UALIMU MONDULI
       MWAKA WA MASOMO 2014/2015.
       Wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo haya
       wanatakiwa kuripoti Chuo
       cha Ualimu Monduli kuanzia tarehe
       14/07/2014 hadi 15/07/2014.
       MAELEKEZO MUHIMU
       Wanafunzi wanatakiwa kufika chuoni wakiwa na mahitaji
       yafuatayo:-
       1. Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania vya Kidato
       cha NNE na SITA;
       2. Sare ya Chuo (Shati/Blauzi nyeupe mikono
       mirefu:Suruali/sketi: koti na tai rangi ya “dark blue”); na
       3. Fedha za tahadhari chuoni na matumizi binafsi.
       Usajili wa waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo utafungwa terehe
       18/07/2014 saa 12.00 jioni.
       Soma majina kwenye attachment hapo chini
       [attachment deleted by admin]
       *****************************************************
       Page 1 of 1