URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Jukwaa la elimu Tanzania
       *****************************************************
       #Post#: 1106--------------------------------------------------
       Matokeo ya kidato cha nne 2014/2015 fuatilia hapa bonyeza
       uhabarike
   DIR By: stakeholder
       Date: January 13, 2015, 8:32 am
       ---------------------------------------------------------
       Fuatilia matokeo ya kidato cha nne 2014-2015 hapa chatguest.com
       Kama unafuatilia matokeo ya kidato cha nne 2014-2015 basi hapa
       umefika habari kamili unaletewa
       mtandao wako mahili kabisa unaokujuza habari za kielimu na pia
       mtandao huu unakupa pesa kama unatembelea kila mara. soma zaidi
       habari zote kwenye mtandao huu wa chatguest.com ufaidike.
       Umepata habari yoyote kuhusiana na matokeo hayo ya 2014
       Tafadhari waambie wenzio kwenye jukwaa hili la elimu wakushukuru
       kwa taarifa
       (FUATILIA MATOKEO YA MWAKA HUU 2015/2016 KWA KUBONYEZA HAPA)
  HTML http://www.chatguest.com/secondary-school-students-forum/matokeo-ya-kidato-cha-nne-20152016-form-four-necta-results-20152016-matukio-na-t/
       Post hii imeboreshwa tarehe 14 february 2015
       MATOKEO YA MWAKA JANA 2014/2015 SOMA KWENYE LINK HII
  HTML http://41.188.155.122/csee/matokeo/csee/2014/olevel2014.htm
  HTML http://41.188.155.122/csee/matokeo/csee/2014/olevel2014.htm
       Jiunge nasi muda huu utumiwe zawadi kwenye email yako Bonyeza
       hapa ujiunge bure kwa sekunde chache tu
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=register
       Huu ulikuwa ni ushauri kabla matokeo hayajatangazwa.
       Ulifanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2014 na unasubiri
       matokeo ya kidato cha nne yanayotangazwa mwaka 2015? Kama ndiyo
       basi utapata habari zote kuhusiana na matokeo hayo ya kidato cha
       nne 2015 mpaka yatakapotangazwa rasmi na na idara husika yani
       moe.
       Leo hii kuna zawadi kwa watakaojiunga na mtandao huu utatumiwa
       ujumbe kwenye email yako kama umezawadiwa vocha za simu au pesa
       taslimu bonyeza hapa uweke email yako kuzawadiwa
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=register
       Muda huu ukisubiri matokeo yako unafanya nini mtaani? Una
       malengo yoyote ya kuendelea na masomo ya kidato cha tano au
       ulishakata tamaa baada ya kufanya mtihani? Unaweza waambia
       wanafunzi wote Tanzania unachofanya muda huu kama ni cha busara
       na faida nao wakuige Jadili na wanafunzi wote Tanzania kwenye
       jukwaa la wanafunzi wa shule zote Tanzania  ujiunge na wenzio
       fungua account kwa dakika moja tu ni bure kabisa angalia sehemu
       ya kujiunga kwenye mtandao huu.
       Unajua unaweza kuwa unalipwa pesa huku ukiwa shuleni unasoma?
       Bonyeza link hii hapa chini usome namna ya kulipwa ukiwa shuleni
  HTML http://www.chatguest.com/makala-bora-(mb)/soma-namna-ya-kulipwa-mara-unapoandika-makala-kwenye-kijiwe-hiki-cha-wasomi-(mb)/
  HTML http://www.chatguest.com/makala-bora-(mb)/soma-namna-ya-kulipwa-mara-unapoandika-makala-kwenye-kijiwe-hiki-cha-wasomi-(mb)/
       Matokeo ya kidato cha nne 2014-2015 yatapatikana hapa endelea
       kufuatilia hapa hapa pia mtumie rafiki yako neno
       www.chatguest.com
  HTML http://www.chatguest.com
       ili naye aweze kufuatilia matokeo mpaka
       yatakapotangazwa na idara husika ya serikali.
       Ikitokea hujafanikiwa kufaulu mtihani wa kidato cha nne
       uliofanya mwaka 2014 umejipanga ufanye nini? Utarisiti au
       utaenda wapi na kufanya nini tuambie wenzio ili nasi tupate wazo
       toka kwako, tunaomba ureply hapo chini au ukiwa hapa kwenye
       jukwaa letu la elimu andika new topic tushauri wazo lako nasi
       tukukumbuke daima. Pia kama huna wazo utafanya nini uliza
       wenzako watakusaidia cha kufanya.
       Chatguest inakusaidia kukupa habari kwa urahisi hasa hasa habari
       za kitaifa. Usisumbuke kutembelea mitandao isiyo na maadili
       unapoteza muda tu, kama una kompyuta tumia chatguest kuelimika
       kucheza games na ulipwe, pia kuna nafasi za kazi ambazo unaweza
       kufanya kama kuandika habari kwenye blogs na utalipwa vizuri
       sana. Kwanini usiisambaze chatguest.com ili Tanzania nzima na
       dunia ifaidi mambo mazuri yanayopatikana hapa? bonyeza herufi za
       "f" au "t" mwisho mwa habari hii ili uweze kuwatumia marafiki
       zako habari hii. watakushukuru sana kwani wengi wanahangaika
       kujua matokeo yanatoka lini. Na wengi wao wanafuatilia
       mitandaoni matokeo ya kidato cha nne 2014/2015  Ni hapa hapa
       chatguest.com pekee Usiondoke bila kujisajiri kwenye mtandao
       huu. Tutakutumia taarifa kwenye email yako siku matokeo ya
       kidato cha nne 2014/2015 yakitangazwa . Bonyeza link
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=register
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=register
       #Post#: 1248--------------------------------------------------
       Re: Matokeo ya kidato cha nne 2014/2015 fuatilia hapa bonyeza
       uhabarike
   DIR By: mjuni
       Date: January 29, 2015, 2:59 am
       ---------------------------------------------------------
       Kwani bado hayajatangwazwa?
       #Post#: 1384--------------------------------------------------
       Re: Matokeo ya kidato cha nne 2014/2015 fuatilia hapa bonyeza
       uhabarike
   DIR By: stakeholder
       Date: February 14, 2015, 10:33 am
       ---------------------------------------------------------
       Tazama matokeo ya kidato cha nne 2014 kwenye link hii
  HTML http://41.188.155.122/csee/matokeo/csee/2014/olevel2014.htm
       #Post#: 1398--------------------------------------------------
       Re: Matokeo ya kidato cha nne 2014/2015 fuatilia hapa bonyeza
       uhabarike
   DIR By: sungura
       Date: February 16, 2015, 10:32 am
       ---------------------------------------------------------
       Ni shule gani ya kwanza kitaifa kwenye matokeo haya?
       #Post#: 1404--------------------------------------------------
       Re: Matokeo ya kidato cha nne 2014/2015 fuatilia hapa bonyeza
       uhabarike
   DIR By: stakeholder
       Date: February 17, 2015, 7:49 am
       ---------------------------------------------------------
       Kaizirege secondary school Kagera
       #Post#: 1563--------------------------------------------------
       Re: Matokeo ya kidato cha nne 2014/2015 fuatilia hapa bonyeza
       uhabarike
   DIR By: msaudz
       Date: March 25, 2015, 3:39 pm
       ---------------------------------------------------------
       Zaidi ya watu laki sita wametembelea post hii ndani ya mwezi
       moja. Kweli chatguest mpo juu kwa kutoa habari muhimu hasa za
       kielimu kama hizi. Endeleeni na moyo huo huo.
       Sasa nimevutiwa kutangaza kwenye mtandao huu je ni kiasi gani
       kwa mwezi kuweka tangazo?
       #Post#: 1855--------------------------------------------------
       Re: Matokeo ya kidato cha nne 2014/2015 fuatilia hapa bonyeza
       uhabarike
   DIR By: CGMarketing
       Date: June 16, 2015, 10:10 am
       ---------------------------------------------------------
  HTML http://1.bp.blogspot.com/-ghwibLGluMM/VYA7PqU3_6I/AAAAAAAAAu0/VrhjGIE81mU/s1600/inside%2Bpost.png
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=adpro;sa=buyeraddad2;type=revshare
       #Post#: 1871--------------------------------------------------
       Re: Matokeo ya kidato cha nne 2014/2015 fuatilia hapa bonyeza
       uhabarike
   DIR By: jacob kijazi
       Date: June 30, 2015, 8:37 am
       ---------------------------------------------------------
       sasa post mnazitangaza lini?
       *****************************************************
       Page 1 of 1