DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Sports and entertainments
*****************************************************
#Post#: 1064--------------------------------------------------
5,000 nyingine inatolewa leo ukishinda game hili soma vigezo
kwanza
DIR By: stakeholder
Date: January 9, 2015, 3:00 am
---------------------------------------------------------
Unatumiwa pesa sh. 5,000 kama scores au alama zako zitakuwa
kubwa kuliko za wengine wote waliopata scores kuanzia 1400
kwenda juu ndani ya dakika tano siku ya leo. Malipo yanafanyika
kila siku saa mbili usiku na unatumiwa pesa zako kwa simu tu.
Bonyeza link ya games husika linalofuata vigezo hivyo.
HTML http://moneyforum.chatguest.com/index.php?action=arcade;sa=play;game=116
Tunakutakia mchezo mwema
#Post#: 1068--------------------------------------------------
Re: 5,000 nyingine inatolewa leo ukishinda game hili soma vigezo
kwanza
DIR By: stakeholder
Date: January 9, 2015, 6:59 am
---------------------------------------------------------
Tunatafuta mshindi kwenye sheria hii. Cheza sasa ushinde na
ulipwe, ukichelewa sheria inaweza kuwa ngumu zaidi wahi sasa
#Post#: 1227--------------------------------------------------
Re: 5,000 nyingine inatolewa leo ukishinda game hili soma vigezo
kwanza
DIR By: suffi
Date: January 26, 2015, 3:07 pm
---------------------------------------------------------
Bonge la huduma sijaona pengine Tanzania labda huko mbele mbele
mamtoni pamoja sana
*****************************************************
Page 1 of 1