URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Sports and entertainments 
       *****************************************************
       #Post#: 1056--------------------------------------------------
       Sh.5,000 nyingine inatolewa leo ukishinda game hili soma zaidi
   DIR By: stakeholder
       Date: January 8, 2015, 11:07 am
       ---------------------------------------------------------
       Habari wana michezo!  Mdau moja amechukua bingo nadhani
       umeshamjua. Na wewe unaweza kutumiwa elfu tano. Scores
       unazotakiwa kupata ni 1400 kwenye game hili na uwe wa kwanza kwa
       siku ya leo kuzipata hizo scores hizo ndani ya dakika 3.
       Ukishinda tu unatumiwa pesa yako kwa simu. Hata aliyeshinda
       anaweza kucheza tena kama ameshalipwa kwa point alizopata awali
       kwa siku hiyo. Akishinda anatumiwa pesa yake tena. Hakuna kikomo
       cha kushinda pesa ila points za kushinda ndiyo zinaweza ongezeka
       au kushushwa kulingana na uamuzi wa utawala na hali halisi ya
       wachezaji. Mfano points za kushinda zilikuwa 700 lakini leo ni
       1400 kesho zinaweza kushuka au kupanda zaidi. Karibu ucheze na
       ushinde bonyeza link
  HTML http://moneyforum.chatguest.com/index.php?action=arcade;sa=play;game=116
       #Post#: 1062--------------------------------------------------
       Re: Sh.5,000 nyingine inatolewa leo ukishinda game hili soma
       zaidi
   DIR By: HonestyQper
       Date: January 9, 2015, 1:09 am
       ---------------------------------------------------------
       nimecheza na kupata scores 1550 namba yangu ni 0766718040.
       asanteni
       #Post#: 1063--------------------------------------------------
       Re: Sh.5,000 nyingine inatolewa leo ukishinda game hili soma
       zaidi
   DIR By: stakeholder
       Date: January 9, 2015, 2:09 am
       ---------------------------------------------------------
       --- Quote from: HonestyQper link ---
       >
       > nimecheza na kupata scores 1550 namba yangu ni 0766718040.
       asanteni
       >
       --- End Quote ---
       Sawa utatumiwa pesa muda wowote kuanzia sasa. Hongera sana.
       Endelea kucheza games na kunufaika.
       *****************************************************
       Page 1 of 1