DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ma...
*****************************************************
#Post#: 990--------------------------------------------------
WEMA AZUNGUMZA ANAVYOJISIKIA BAADA YA DIAMOND KUWA NA ZARI!!
DIR By: udaku
Date: December 30, 2014, 12:10 am
---------------------------------------------------------
U Heard ya leo December 29 iko hapa, Gossip Cop alihudhuria
shughuli ya kutambulisha msanii mpya ambaye atakuwa kwenye
Management ya Endless Fame iliyofanyika Tegeta Dar siku ya jana
December 28, akapata nafasi ya kuzungumza na Wema na jinsi
anavyojisikia kuhusu uhusiano wa Diamond na Zari.
Wema alisema anachukulia fresh, hana tatizo lolote na yoyote
kati ya wawili hao kwa sasa ameendelea na mambo yake.
“... Aisee nawapenda… such a good couple. Wivu wa nini, I wish
him all the best and ammmm… I wish him happiness …” Wema Sepetu.
Kwa bahati mbaya wakati wakijiandaa kutoka ukumbini hapo baada
ya mahojiano hayo Wema alipata jeraha baada ya kubanwa kidole na
mlango wa gari.
*****************************************************
Page 1 of 1