URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Jukwaa la wanafunzi Tanzania (JUWATA)
       *****************************************************
       #Post#: 908--------------------------------------------------
       Kati ya wanafunzi wanaopenda  kukaa benchi za nyuma na mbele
       wapi wana akili?
   DIR By: m23
       Date: December 15, 2014, 1:36 pm
       ---------------------------------------------------------
       Toa wazo lako kila moja ana mtazamo wake na wengi huwa
       wanafikila sana swala hili hasa wanaosomea saikolojia kwenye
       masuala ya elimu sasa swali ni hilo! Kati ya wanafunzi
       wanaopenda  kukaa benchi za nyuma na mbele wapi wana akili
       zaidi?
       #Post#: 912--------------------------------------------------
       Re: Kati ya wanafunzi wanaopenda  kukaa benchi za nyuma na mbele
       wapi wana akili?
   DIR By: Nsolo
       Date: December 15, 2014, 5:00 pm
       ---------------------------------------------------------
       Yawezekana akakaa mbele ili aone vizuri ubaoni, asikie kwa
       hakika au kimbelembele tu.
       Wa nyuma aweza kuwa kuficha utundu au tabia ya woga na wote
       wakawa na akili sawa.
       *****************************************************
       Page 1 of 1