URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ma...
       *****************************************************
       #Post#: 835--------------------------------------------------
         Naombeni Ushauri Mke Wa Rafiki Yangu Anataka Nimuingilie
       Kinyume Na Maumbile .
   DIR By: udaku
       Date: October 13, 2014, 3:39 am
       ---------------------------------------------------------
  HTML http://2.bp.blogspot.com/-8qIstSc02Zc/VDoqduMfuyI/AAAAAAAAAOI/CUWBLXKlB4I/s1600/mke.jpg
       Jana nimeduwazwa sana baada ya mke wa rafiki yangu kunitamkia
       wazi kuwa ananipenda na anataka kutoka na mimi.
       Tangu nifahamiane naye miaka takribani mitano sasa tumekuwa
       tukiheshimiana naye sana kama mashemeji. mwaka huu akaniambia
       kuwa mumewe ameanza kubadilika kwa kuzidisha ulevi, kuchelewa
       kurudi nyumbani na wakati mwingine kulala nje na pia alizifuma
       meseji za mapenzi kwenye simu ya mumewe kutoka kwa mtu
       aliyemsave kwa jina la kiume, hivyo nimsaidie kumshauri ili
       abadilke ila akanionya nisimwambie kama ni yeye ndiye kaniambia.
       Nilimtia moyo kuhusu hali hiyo na kumwomba awe mvumilivu na
       asichoke kuongea na mumewe kuhusu hali hiyo ili abadilike.
       Binafsi nilipata wakati mgumu wa namna gani nitamshauri jamaa
       bila kumtajia makosa yake na wapi nimeyapata hivyo nikashindwa
       hiyo kazi.
       Mke wa jamaa akaanza kunipigia simu usiku kulalamika kila mumewe
       anapochelewa kurudi na wakati mwingine akinipigia alfajiri
       kuniambia kuwa mumewe hajarudi hadi muda huo. Niliendelea kumtia
       moyo ingawa mambo hayo yalikuwa ni ya kweli.
       Cha ajabu kuanzia wiki jana amekuwa akinitumia meseji za
       mapenzi, nikajua ni hizi meseji ambazo watu hutumiana hivyo
       sikujali sana hadi pale aliponiandikia akiniambia kuwa yuko
       serious anataka kutoka na mimi. Sikuamini nikampigia simu
       kusikia sauti yake kama ni yeye kweli, ndipo aliponithibitishia
       kuwa yuko serious na atatunza siri na kunitunzia heshima yangu
       kwa jamaa kwani tayari moyo wake umeangukia kwangu.
       Sikuweza kumjibu kitu kwa namna nilivyopatwa na mshangao. hadi
       sasa anaendelea kunibembeleza na kunipa mbinu nyingi za kutimiza
       lengo lake bila kujulikana na watu.
       Binafsi sina lengo la kumsaliti mshikaji wangu ila nimelileta
       kwenu ili mnishauri nimjibu vipi huyu mwanamke ili heshima yangu
       kwa familia hii iendelee kuwapo na pia kusitokee chuki yoyote
       kutokana na kadhia hii itakayopelekea urafiki wangu na familia
       hii kuyumba au kupotea.
       Chanzo mweusiclassic
       #Post#: 840--------------------------------------------------
       Re:   Naombeni Ushauri Mke Wa Rafiki Yangu Anataka Nimuingilie
       Kinyume Na Maumbile .
   DIR By: Nsolo
       Date: October 18, 2014, 3:51 am
       ---------------------------------------------------------
       The post Title and post content don't match!
       *****************************************************
       Page 1 of 1