URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Jukwaa la elimu Tanzania
       *****************************************************
       #Post#: 70--------------------------------------------------
       Majina ya waliopangiwa vyuo vya ualimu cheti na stashahada
       2014/2015
   DIR By: stakeholder
       Date: July 12, 2014, 4:05 am
       ---------------------------------------------------------
       Tetesi zote zinajadiliwa hapa mpaka majina yakiwa tayari na
       utayapata hapa hapa. Kwasasa jadili chochote kuhusiana na vyuo
       vya ualimu, Je ni kweli ada imepanda? Ni shilingi ngapi kwa
       mwaka? Wajuze rafiki zako habari hii kwa kubonyeza share hapo
       chini kwenye facebook au twitter, au google plus.
       #Post#: 95--------------------------------------------------
       Re: Majina ya waliopangiwa vyuo vya ualimu cheti na stashahada
       2014/2015
   DIR By: m23
       Date: July 13, 2014, 9:45 am
       ---------------------------------------------------------
       Vipi majina bado ya vyuo vya ualimu bado wadau? tujuzane
       #Post#: 108--------------------------------------------------
       Re: Majina ya waliopangiwa vyuo vya ualimu cheti na stashahada
       2014/2015
   DIR By: stakeholder
       Date: July 14, 2014, 3:21 am
       ---------------------------------------------------------
       --- Quote from: m23 link ---
       >
       > Vipi majina bado ya vyuo vya ualimu bado wadau? tujuzane
       >
       --- End Quote ---
       Yakiwa tayari utayaona hapa hapa kwani wanachama wenzio
       watakujulisha
       #Post#: 110--------------------------------------------------
       Re: Majina ya waliopangiwa vyuo vya ualimu cheti na stashahada
       2014/2015
   DIR By: m23
       Date: July 15, 2014, 9:38 am
       ---------------------------------------------------------
       pamoja sana
       #Post#: 128--------------------------------------------------
       Re: Majina ya waliopangiwa vyuo vya ualimu cheti na stashahada
       2014/2015
   DIR By: Nadia
       Date: July 17, 2014, 12:41 pm
       ---------------------------------------------------------
       Walimu wetu hao. shule zetu hazina walimu wa kutosha mkishasoma
       mje mtuteach.
       *****************************************************
       Page 1 of 1