URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Makala Bora
       *****************************************************
       #Post#: 3399--------------------------------------------------
       "Natengeneza pesa nyingi mtandaoni kuliko mshahara
       nilikoajiriwa"
   DIR By: stakeholder
       Date: July 19, 2020, 2:23 am
       ---------------------------------------------------------
       Habari za uzima, Leo napenda kushare na wewe huu ushuhuda wa
       mwanadada Haphsa ambaye toka aijue biashara ya bitcoins sasa
       anaendesha maisha yake kwa kutegemea pesa za mtandaoni na sio
       mshahara anaopokea aliko ajiriwa
       Mwanadaada haphsa ameisimulia chatguest kuwa Tangu alipoajiriwa
       serikalini 2015 ameishi kwa kuhangaika sana kwakua mshahara
       ulikuwa hautoshi ana makato mengi kwenye mshahara wake huo
       yakiwemo makato ya bodi ya mkopo wa elimu ya juu ambao
       alikopeshwa kipindi anasoma chuo.
       Bi haphsa anasema alifurahia kula boom yani mkopo wa elimu ya
       juu akiwa chuoni SUA Morogoro alikokuwa anasomea maendeleo ya
       Jamii Vijijini lakini baada ya kuanza kukatwa makato ya
       kurejesha mkopo huo alianza kuumia sana kwakua maisha kwake
       yalikuwa machungu sana. Mshahara wake ulikuwa unaisha kabla ya
       tarehe 5 yaani akipokea pesa tarehe 24 kufika tarehe 5 mwezi
       mpya mshahara unakuwa umeisha kutokana na uchache wake na mambo
       ya kufanya yakiwa mengi kama kusaidia ndugu waliomsomesha mpaka
       sekondari na waliomsaidia pia chuo kwakua mkopo wa chuo hakupata
       asilimia 100 alipata asilimia 80 hivyo alitegemea ndugu kupata
       pesa za kuongezea kwenye Ada kama laki mbili kila mwaka.
       Bi Haphsa aliendelea kuisimulia Chatguest kuwa siku moja aliona
       mtu amepost maswala ya biashara ya bitcoin kwenye group la
       whatsapp alimo kuwa amejiunga ndipo alipo vutiwa na kujaribu
       kufuatilia zaidi.
       "Nilimfuata inbox yule ndugu nikamuuliza maswali mengi
       namshukuru alinipa ujuzi wote bila ya kuficha ndipo nilipoanza
       kununua bitcoins na kuziuza kwa faida. Kwa mwezi natengeneza
       zaidi ya laki nne kwa mtaji wa shilingi milioni moja. Nilianza
       na mtaji wa sh elfu 50 tu nilinunua bitcoins za sh elfu 50
       nikawa nasubiri bei ipande nauza ikishuka nanunua ikipanda nauza
       mchezo ni huo mpaka leo hakuna siri nyingine zaidi kwenye
       biashara hii ya bitcoins" Bi haphsa.
       Bitcoin ni biashara yenye faida kubwa duniani watu wengi
       wamepata utajiri kwa kufanya biashara ya bitcoins, Mnamo mwaka
       2017 bitcoin moja ilikuwa inauzwa chini ya dola moja yaani chini
       ya shilingi 2,315 za kitanzania lakini leo bitcoin moja ni
       shilingi za kitanzania milioni 21 na kuendelea bei inabadilika
       kila sekunde inapanda inashuka inapanda.
       Aliyenunua bitcoin moja kwa sh 2300 mwaka 2017 leo anamiliki
       bitcoin hiyo kwa shilingi milioni 21 miaka mitatu tu imepita
       toka kuwekeza sh 2,315 unapata sh milioni 21 tena bila kufanya
       kazi yoyote.
       Bado bitcoin ni fursa kutokana na bei yake kushuka na kupanda
       kama alivyosimulia mwana dada Haphsa unaweza nunua bei ikishuka
       hadi milioni 19 ukauza bei ikipanda hadi milini 20 au 21 au za
       zaidi. Bei ya bitcoin inapanda zaidi ilishawahi kufikia milioni
       40. Mwaka huu inaweza kufikia milini 100 watalamu wa tathmini ya
       ukuaji wa bitcoin wameandika makala kuhusu upandaji wa bei ya
       bitcoin mwaka huu na miaka ijayo.
       Kuanza biashara hii ni rahisi sana Jisajiri kwenye mtandao wa
       www.jamiihuru.com/register ili upate elimu zaidi na kuanza
       kununua bitcoin kwa usalama bila kutapeliwa na mtu na uziuze kwa
       faida kubwa zaidi ili ukuze mtaji wako haraka. Unaweza pia
       kujiunga kwenye group la biashara ya bitcoin whatsapp kwa
       kubonyeza link hii
  HTML https://chat.whatsapp.com/EWs5GLk4yzN6vOwpFAeDqQ
       Mtumie rafiki makala hii anayetafuta ajira/kazi au biashara ya
       kufanya Asihangaike tena bali aanze kufanya biashara ya bitcoin.
       Pamoja tunaweza kutokomeza umaskini
       *****************************************************
       Page 1 of 1