DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Makala Bora
*****************************************************
#Post#: 3383--------------------------------------------------
Mtandao wa chatguest unauzwa bei poa
DIR By: stakeholder
Date: June 12, 2018, 6:14 am
---------------------------------------------------------
Download app ya jamaaonline utengeneze pesa kwa kuandika makala
zenye manufaa kwa jamii. Bonyeza link hii
HTML http://bit.do/jamaaonline
Karibu
HTML http://www.jamaaonline.com
Ni kweli mitandao ambayo
inamilikiwa na watazania kwa sasa imepoteza dira. Wamiliki wa
blog na forums hawana hamu tena ya kuendelea na kazi hiyo
kutokana na kukosa pesa nyingi za kusajiri blog hizo huko
zinakotakiwa kusajiriwa na kupata leseni ambayo inahitaji pesa
nyingi kuliko kipato cha blog zao.
Nikiwa kama mzalendo wa Tanzania sitachoka kujaribu kutumia
fulsa zilizopo nchini mwangu na kuwaachia Facebook twitter
whatsapp instagram ndiyo watengeneze mamilioni ya pesa kwa kuuza
mitandao yao nchini mwangu wakati mimi nina uwezo wa kuanzisha
project kama ya facebook japo sina hela ya kusajiria kwa ajiri
ya leseni. Pesa za kusajiria zitapatikana mbele kwa mbele cha
msingi tulinde nchi yetu kwa kutopost kila tunachokiona na
kukisikia hata vile vinavyoweza kuhatarisha usalama wa nchi yetu
inayosifika kwa kuwa na Amani duniani.
Chatguest nayo inafungwa rasmi hutaweza kupost makala wala
kucomment kwakua nayo haina utofauti na Jamii forums ambayo
tayari ipo closed, japo chatguest hakuna habari za current
affairs ambazo hazitakiwi kupost mitandaoni.
Lakini facebook twitter sidhani kama watu wataacha kupost.
Ushauri kwa serikali yangu ni kwamba tuipitie vizuri sheria
tukitafakari lengo kuu la kudhibiti usiri ni kuweka gharama za
usajiri wa blog na leseni za blog za wazawa tu kuwa juu hata
kwa anayeanza kutoa huduma hii na hali facebook twitter insta na
mitandao mingine ya wageni wanaruhusiwa kutoa huduma kama ile
ile nchini mwetu bila kulipia kodi wala usajiri nchini kama
ilivyo kwa huduma za wazawa. Inawezekana sijui kuwa facebook
inalipa kodi nchini mwetu kwa hilo nisamehewe.
Je mtu akitaka kufungua forum kwa ajiri ya kutoa elimu tu mfano
elimu ya kilimo ujasirimali na hana milioni moja za leseni
kwakua forum haijaanza kumlipa naye asitoe huduma hiyo kwakua ni
mzawa, lakini wamiliki wa forum kama ileile nje ya Tanzania
watoe huduma ndani ya nchi yangu na watengeneze kipato kizuri
kutokana na population ya watu wa nchi yangu wakati mimi naweza
kufanya hivyo.
Ni hayo tu wakuu wetu Tungeitwa bungeni tungeyasema haya badala
ya kuyasema huku.
Chatguest.com inauzwa bei poa domain imesajiriwa mpaka mwaka
2028 hutalipia chochote kwa jina hili. Pia chatguest ina members
zaidi ya 7000. Chatguest.com inauzwa si kwa sababu ya kukosa
pesa za usajiri TCRA bali ilikuwa inauzwa hata kabla ya sheria
ya mtandao ya mwaka 2018 ambayo ndiyo imepelekea watu kufunga
blogs zao bila kupenda kwakua hawana milioni za leseni na wala
hawawezi kuzipata hizo milioni hata kwa miaka 5.
Wanaoshauriwa kuinunua chatguest ni wasio wazalendo wa Tanzania
uwe unatoka kenya uganda au nchi nyingine zenye kuruhusu
kumikili mitandao hii bila masharti
magumu.
HTML http://www.jamaaonline.com
Ukiihitaji chatguest nifuate inbox au kwenye mitandao ya wageni
whatsapp 0652428852 au telegram 0652428852 Hapa hadharani huwezi
kupost chochote Si uongozi wa chatguest hautaki upost bali ni
sheria za nchi ya Tanzania Vinginevyo changia milioni moja
tupate leseni ili uweze kupost kwa masharti ya sheria ya maudhui
ya mtandao 2018 Tanzania.
*****************************************************
Page 1 of 1