URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Makala Bora
       *****************************************************
       #Post#: 3375--------------------------------------------------
       Miliki chatguest.com leo uweze kutengeneza pesa
   DIR By: stakeholder
       Date: February 28, 2018, 7:16 am
       ---------------------------------------------------------
       Habari ndugu mwanachama na mtumiaji wa mtandao huu wa
       chatguest.com. Mtandao huu ulianza mwaka 2013 mpaka sasa una
       wanachama zaidi ya 7000.
       Mtandao huu unauzwa kwa beu ya ofa ndani ya mwezi huu wa tatu
       2018. Ukinunua mtandao huu utafaidika na yafuatayo.
       1. Jina la mtandao huu yaani chatguest.com limelipiwa mpaka
       mwaka 2028 yaani miaka 10 yote hutalipia jina hili tena.
       2. Mtandao huu una wanachama zaid ya elfu saba hivyo
       ukiuchangamsha utaweza kutengeza si chini ya sh elfu kumi kwa
       siku kwa mwezi utatengeneza si chini ya laki 3 huu ni mshahara
       mzuri tu.
       3. Mtandao huu umeshakuwa maarufu kwenye google search ingine
       ulishawahi kupata wasomaji zaidi ya laki sita kwa siku mbili
       angalia kwenye jukwaa la elimu Tanzania. Hivyo ukiandika makala
       au habari inaenda juu kabisa kwenye google search results na
       kupata wasomaji wengi wapya kila siku na utapata watu wapya
       wanaojisajir kila siku.
       Mtandao huu unauzwa kwa bei ya promotion kwakua sasa tumewekeza
       nguvu zetu zote kwenye mtandao mpya wa
       [ftp=
       ftp://www.jamaaonline.com
       ]www.jamaaonline.com[/ftp]
       Ukihitaji mtandao huu tuwasiliane kwa sms namba 0652428852 au
       whatsapp kwa namba hivyo hiyo. Karibu sana umiliki chatguest.com
       *****************************************************
       Page 1 of 1