DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Makala Bora
*****************************************************
#Post#: 3368--------------------------------------------------
Ujue mtandao unaofanana na facebook ambao unalipa admins wa
groups
DIR By: stakeholder
Date: June 10, 2017, 2:33 pm
---------------------------------------------------------
Napenda nikushirikishe fulsa hii inayopatikana mtandaoni. Kuna
mtandao unaitwa JAMAA mtandao huu unafanana kabisa na Facebook
kizuri kilichopo kwenye mtandao wa JAMAA ni kwamba ukiunda group
na ku-add members kwenye group lako unalipwa kila mwisho wa
mwezi kulingana na idadi ya wanao-chat kwenye group lako.
Hizi ndizo fulsa zinazopatikana kwenye intaneti. Ukiwa na group
la watu 5000 nadhani utafungua ofisi kabisa mtaani kwako na
utanunua kompyuta na simu nzuri kwa ajili ya kazi hiyo tu. Anza
leo kuunda group lako uwe mkurugenzi wa group lako kila mwisho
wa mwezi unapokea mshahara wako.
Ukipata habari yoyote ile kama hii ipokee kisha ifanyie kazi kwa
kufanya uchunguzi ili kesho upate cha kusema ambacho ni sahihi
pindi ukikutana na JAMAA yako mtaani. Tumia dakika mbili ingia
kwenye mtandao wa JAMAA kwa kubonyeza link hii
HTML https://www.jamaaonline.com
Au kama unasoma hapa kwa kutumia simu basi weka app ya JAMAA
toka play store bonyeza link hii
HTML https://play.google.com/store/apps/details?id=com.jamaa.tz
Hakika utakuwa shuhuda kwa wengine.
*****************************************************
Page 1 of 1