URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Jukwaa la wanafunzi Tanzania (JUWATA)
       *****************************************************
       #Post#: 3348--------------------------------------------------
       MUHIMU: Hakikisha unajisajiri na chatguest mpya uweze kufaidi
       fulsa mpya
   DIR By: stakeholder
       Date: December 27, 2016, 11:50 am
       ---------------------------------------------------------
       Halloo mpenzi mtumiaji wa mtandao wa chatguest  asante kwa
       kuiwezesha chatguest kwa kujadili mada mbali mbali mtandaoni
       toka umejisajiri.
       Leo tunapenda kukukaribisha kwenye mtandao mpya ambao utahusu tu
       mada za kupeana fulsa za kujikwamua na umaskini pia kutoa habari
       sahihi zitakazowasaidia vijana kujiajiri au kupata kazi kwa
       haraka mara tu wamalizapo masomo yao.
       Pia tutaajiri watu wakuongoza forum hiyo mpya yaani moderators
       na admins toka wilaya zote Tanzania hawa watakuwa pia ni
       reporters wa matukio toka wilayani kwao na watahusika na
       kutangaza forum hiyo kwenye wilaya husika na kupokea matangazo
       ya wateja toka kwenye wilaya husika wanazoishi Kila wilaya
       tutaajiri mwakilishi mmoja kwa kuangalia wale wenye busara
       katika majadiliano ya kila siku hivyo bahati hii inaweza kuwa
       yako. Sio lazima uwe umesomea utangazaji wala usitume vyeti au
       CV sisi hatuangalii elimu tunaangalia ujuzi kwenye mtandao wetu
       tu.
       Hakikisha umejisajiri kwenye mtandao huo wa
       www.millionairebloggers.com
  HTML http://www.millionairebloggers.com/index.php?login/login
       kwa
       dakika mbili tu ili uwe unapokea ujumbe wa fulsa hizo pamoja na
       ofa za vocha za simu zinazotolewa bure kwenye mtandao huo mara
       kwa mara. Ukiingia pale mtandani ukikuta namba za vocha kama
       umewahi kuziona basi ingiza kwenye simu yako endelea kufurahia
       ofa hii kama umeingiza mara moja ukapata ujumbe vocha hii
       imechatumika ujue wenzako wamekuwahi yaani wameiona kabla yako.
       Kila siku tunaweka vocha kwenye posts pale
       www.miliionairebloggers.com
  HTML http://www.millionairebloggers.com/index.php?login/login
       Hii nikutoa shukrani kwa wadau wetu wa chatguest na kuomba
       ushirikiano huo huo kwenye mtandao mpya ambao ni tawi la
       chatguest. Bonyeza www.millionairebloggers.com
  HTML http://www.millionairebloggers.com/index.php?login/login
       ili
       ujisajiri muda huu Karibu sana
       *****************************************************
       Page 1 of 1