URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Za...
       *****************************************************
       #Post#: 3346--------------------------------------------------
       Hamia kwenye forum yetu mpya ya www.millionairebloggers.com
       ufaidike na fulsa mpya
   DIR By: stakeholder
       Date: December 27, 2016, 11:21 am
       ---------------------------------------------------------
       Hallo mpenzi mtumiaji wa mtandao wa chatguest.com asante kwa
       kuiwezesha chatguest kwa kujadili mada mbali mbali hapa
       mtandaoni.
       Leo tunapenda kukukaribisha kwenye mtandao mpya ambao utahusu tu
       mada za kupeana fulsa za kujikwamua na umaskini pia kutoa habari
       sahihi zitakazowasaidia vijana kujiajiri au kupata kazi kwa
       haraka Pia tutaajiri watu wakuongoza forum hiyo mpya kwa
       kuangalia wale wenye busara katika majadiliano ya kila siku.
       Hakikisha umejisajiri kwenye mtandao huo wa
       www.millionairebloggers.com kwa dakika mbili tu ili uwe unapokea
       ujumbe wa fulsa hizo pamoja na ofa za vocha za simu zinazotolewa
       bure kwenye mtandao huo mara kwa mara.
       Bonyeza www.millionairebloggers.com ili ujisajiri muda huu
       Karibu sana
       *****************************************************
       Page 1 of 1