URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Makala Bora
       *****************************************************
       #Post#: 3334--------------------------------------------------
       SURA YA KWANZA YA www.idiscusacademy.com/ KWA WANAFUNZI NA
       WALIMU
   DIR By: promo1
       Date: December 16, 2016, 1:43 pm
       ---------------------------------------------------------
       Masomo yote secondary Form I hadi form 6 kwa mtandao kupitia
       tovuti ya www.idiscusacademy.com Walimu, wanafunzi wanaweza
       kutumia mtandao wa www.idiscusacademy.com kwenye simu ama
       computer bila malipo ya hata shilingi 10 bure kabisa na kwa
       urahisi mkubwa.
       www.idiscusacademy.com ina manufaa makubwa kwa wanafunzi wa
       kidato cha 1 Hadi kidato cha 6 ,yafuatayo ni manufaa kadhaa ya
       www.idiscusacademy.com
       1.Ni tovuti pekee ambayo inakutanisha na kuunganisha wanafunzi
       ,walimu ,toka kila kona ya dunia na kuwaweka sehemu moja
       2.Inawapa wanafunzi na walimu uwezo wa kutuma maswali online
       kupitia simu zao,hii ni pale ambapo mwanafunzi ikiwa kuna swali
       ambalo limemshinda basi ataweza kulituma kwenye tovuti /forum
       zetu na kupatiwa msaada na wanafunzi wenzake ambao wanalifahamu
       ilo swali au walimu ambao wamejiunga na tovuti yetu
       3.Pia kupitia tovuti yetu mwanafunzi ataweza kujadili kwa kina
       maswali ambayo yamemshinda na kuweza kujua ni vitu gani ambavyo
       anakuwa anakosea kwenye hayo maswali na hatimae kuweza
       kujirekebisha kwenye makosa ambayo anakua anayafanya kwenye
       ufanyaji wa hayo maswali
       Haya yote mwanafunzi ataweza kuyafanya kupitia kwenye FORUMS za
       masomo tofauti ambazo tumezitengeza,hadi sasa tuna FORUMS
       tofauti zikigawanyika kwenye vipengele vifuatavyo
       Physics Forum
       Chemistry Forum
       Biology Forum,
       Mathematics Forum
       Geography Forum
       English Forum
       Kiswahili Forum
       Biology Forum
       Civics Forum
       Commerce Forum
       Bookkeeping Forum
       KWA WADAU AMBAO SI WANAFUNZI AU SI WALIMU JIANDAENI KWA SURA YA
       2 YA IDISCUSACADEMY,,KUJIUNGA NA TOVUTI YETU INGIA HAPA
       www.idiscusacademy.com
       *****************************************************
       Page 1 of 1