URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Makala Bora
       *****************************************************
       #Post#: 3333--------------------------------------------------
       JE UNA MDOGO, NDUGU, RAFIKI AU MWANAO AMBAE BADO ANASOMA KIDATO
       CHA 1-6,HABARI NJEMA NI HIZI AMBAZO 
   DIR By: promo1
       Date: December 16, 2016, 1:34 pm
       ---------------------------------------------------------
       kupitia tovuti yetu ya
       www.idiscusacademy.com ni tovuti/FORUM pekee ambayo
       inawakutanisha wanafunzi toka sehemu/nchi tofauti duniani
       kupitia group letu la facebook ambalo lina WATUMIAJI
       90,726,watumiaji hawa ni wanafunzi na walimu ambao wanatoka kila
       kona ya dunia ,,kupitia forum ambayo tumeiansisha sasa tuna
       lengo la kumpa mwanafunzi uhuru kwa ajili ya kuweza kujadili
       masuala tofauti ya kielimu kwa uhuru mkubwa kwa ajili ya kuweza
       kufanya majadiliano tofauti ambayo yanahusiana na ELIMU,faida
       kadhaa ambazo mwanafunzi anaweza akazipata kupitia forum na
       facebook group yetu ni hizi zifuatazo
       1.Ataweza kuungana na wanafunzi toka kila kona ya dunia mfano
       wanafunzi kutoka SOUTH
       AFRICA,GHANA,NIGERIA,UGANDA,KENYA,MALAWI,INDIA,USA na kuweza
       kufanya majadiliano tofauti kuhusiana na masuala ya kielimu apa
       tunaona ni jinsi gani mwanafunzi anaweza akapata fursa tofauti
       kwa kuwauliza wanafunzi wa nje kuhusu SYSTEM ya kielimu ya nje
       jinsi ilivo na pia tunaona kuwa kwa wale ambao watakua na ndoto
       za kuweza kusoma nje wanaweza wakawadadisi wenzao kuhusiana na
       suala zima la SCHOLARSHIP katika nchi hizo.
       2.Mwanafunzi ataweza pata msaada wa kusaidiwa maswali ambayo
       yamemshinda toka kwa wanafunzi wenzake au walimu ambao
       wamejiunga na forum/tovuti yetu hii ni pale anapokua nyumbani
       halafu ikatokea kuwa kuna maswali yamemshinda basi ataweza
       kuyatuma kwenye tovuti yetu na kuweza kupatiwa msaada na
       wanafunzi au walimu ambao wamejiunga na tovuti yetu hadi sasa
       3.Kupitia forum/tovuti yetu mwanafunzi ataweza kutumia vizuri
       muda wake wakati akiwa online bi maana bado hata akiwa anatumia
       mtandao bado atakuwa anatumia vizuri muda wake kwa kujadili kitu
       ambacho kina manufaa kwa upande wake.
       SUPPORT US KWA KUSHARE NA MARAFIKI,NDUGU AMA MWANAO,ASANTENI
       SANA WADAU WANGU KWA KUTUMIA MUDA WENU KUSOMA UJUMBE HUU
       Unaweza ukatembelea forum yetu kwa kubofya link hii hapa chini
       www.idiscusacademy.com /FORUM YA KUJIFUNZA
       *****************************************************
       Page 1 of 1