URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Chatguest ads
       *****************************************************
       #Post#: 3323--------------------------------------------------
       Faidika na Chatguest Ads,  mfumo wa matangazo wenye bei ndogo ya
       kutangaza blog/biashara kuliko sehe
   DIR By: stakeholder
       Date: December 7, 2016, 6:35 am
       ---------------------------------------------------------
       Huduma za matangazo ya chatguest  mfumo wa matangazo wenye bei
       ndogo za matangazo kuliko sehemu nyingine yoyote duniani.
       Chatguest Ads ni sehemu unayoweza kutangaza blog yako au huduma
       yako au biashara yako kwa shilingi elfu tano tu kwa mwezi na
       ukapata wateja wengi au watembeleaji wengi kwenye blog yako.
       Mtandao wa matangazo wa chatguest umelenga kuwasaidia wamiliki
       wadogo wadogo wa blog na biashara ili kuwawezesha kuweza kupata
       faida kwa kazi wanayoifanya ya uandishi wa blog au biashara
       ndogo ndogo walizozianshisha na wanataka kuzitangaza ili watu
       wazijue.
       Chagua vifurushi  nafuu  vya matangazo kama vilivyoorodheshwa
       hapa chini
       1.
       anatangaza blog au biashara yake kwa shilingi elfu tano tu kwa
       mwezi mzima na tangazo lake linaoneshwa kwenye blog ziaidi ya
       600 kila mara kila siku. Mteja anatakiwa kulipia kuanzia miezi
       mitatu. Mteja anaruhusiwa kulipia hata mwaka ili kuondokana na
       usumbufu wa kusitisha matangazo mara ada ya tangazo inapoisha.
       2.
       linapooneshwa kwa mtu anayesoma blog. Kiwango cha chini cha
       kununua impressions ni impressions elfu kumi na tano (15,000)
       impression moja sawa na shilingi moja.
       3.
       msomaji blog amebonyeza tangazo hilo ili kupata maelezo zaidi
       kwenye blog au website ya mteja wa tangazo. Kiwango cha chini
       kununua clicks 150 wakati click moja ni sawa na shilingi  99.
       Ukubwa wa matangazo.: Matangazo tunayotumia kwa sasa ni 728x200
       tangazo la ulalo  au 300x300 tangazo la wima. Matangazo haya ni
       ya picha yakichanganywa na maandishi kama matangazo ya facebook
       yanavyoonekana ,huu ni mfumo wa kisasa unaofaa kutumika kwenye
       blogs au mitandao ya kijamii.
       Jinsi tangazo lako litakavyoonekana
       Mfano wa tangazo la ulalo (horizontal ad)
  HTML http://i.grab.la/06c07-73a16059-54a8-4b72-aa71-079c13b86a11.png
       Mfano wa Tangazo la wima (Vertical ad)
  HTML http://i.grab.la/06c07-086e61ba-f847-41a2-be4b-1ae50b209084.png
       Tuma ujumbe kwenda chatguestforum@gmail.com au whats app namba
       0652428852 ukielezea unataka kutangaza nini na unachagua
       kifurushi gani hapo juu. Kumbuka utaunganishwa na mfumo wa
       matangazo yetu ambako utaweza kuangalia ripoti ya jinsi tangazo
       lako linavyooneshwa kila siku kila wiki n kila mwezi na hata kwa
       mwaka. Kwa mfumo huu utaweza kujua kama pesa uliyolipia
       imetumika ipasavyo.
       Huu ni mtandao wa kwanza unaowajali watanzania na kuwasaidia
       kujiajiri kupitia uandishi wa blog kwa kuzitangaza blog zao na
       kuwasaidia wafanya biashara wadogo  wadogo ambao hawawezi kumudu
       garama za kutangaza biashara zao kwa pesa nyingi kama wengine
       wanavyotoza.
       *****************************************************
       Page 1 of 1