URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ri...
       *****************************************************
       #Post#: 3317--------------------------------------------------
       Kama unamiliki blog hakikisha unasoma email hii ili utengeneze
       ajira yako binafsi kwa kuandika blogs
   DIR By: stakeholder
       Date: November 13, 2016, 8:26 am
       ---------------------------------------------------------
       Hallo Mwandishi/mmiliki wa blog hongera kwa kazi ya uandishi na
       umiliki wa blog. Kama umeshaweka matangazo yetu ya "chatguest
       ads" kwenye blog yako basi hongera sana endelea kuandika makala
       wanazopenda watu kutembelea mitandaoni pia itangaze blog yako
       bure facebook twitter whats app na kwingineko lakini usijiloge
       ukatangaza facebook unapoteza muda na pesa zako huko ukitaka
       kujua kwanini ingia www.chatguest.com jukwaa ya bloggers kuna
       makala ipo inaelezea hasara ya kutangaza blog facebook Kama
       unataka kutangaza blog yako kwa kulipia kidogo ili upate
       watazamaji wengi basi weka tangazo lako kwenye mtandao wa
       chatguestads soma maelezo kwenye link hii
  HTML http://www.chatguest.com/makala-bora-(mb)/ofa-ya-kutangaza-blog-au-biashara-kwa-shilingi-elfu-tano-mwezi-mzima-wahi-sasa-t/
       Nataka nikupe siri moja kuhusiana na shughuli ya blogging jinsi
       itakavyokulipa hasa kuanzia mwaka huu mpaka utakapozeeka. Unajua
       siku hizi watu wengi wanatumia smartphone kupata habari
       mitandaoni hii ni fulsa kubwa kwetu bloggers kutengeneza pesa.
       Lakini lazima uweke template inayofaa kwenye simu ichukue kwa
       kubonyeza link hii
  HTML http://www.responsivefreetemplate.blogspot.com
       ili uweze kupata
       watembeleaji walio wengi wanaotumia simu za mkononi na matangazo
       yakaonekana kwenye simu hizo. Jinsi ya kuset teplate hiyo ni
       rahisi sana na ni bure. Ukitaka msaada nifuate whatsapp kwa
       namba 0652428852 nitakusaidia kukuelekeza kwa ukaribu zaidi kama
       wewe si mkongwe kwenye masuala ya kutengeneza blog. Zoezi la
       kudownload template hiyo na kuiweka kwenye blog yako haichukui
       zaid ya dakika 5.
       Sababu ya pili, siku hizi elimu bure pamoja na mpango
       unaosemekana mtoto hataishia darasa la saba kama zamani ni mpaka
       akifika sekondari yaani form four ndipo atakuwa amehitimu elimu
       yake ya msingi hii tena ni fulsa kubwa kwetu bloggers ni fulsa
       kubwa kwakua jamii kubwa itakuwa inaweza kutafuta habari kwenye
       mitandao ya kijamii zikiwemo blog zako.
       Sababu ya tatu ni kuwepo kwa intanet yenye kazi ya kuanzia 4g na
       kuendelea iliyoanza baadhi ya mikoa hapa Tanzania hii itafanya
       watu wengi watumie internet kupata habari sambamba na hii garama
       za Televisoin za digital kulipia kila mwezi hapo ndipo watu
       wengi zaidi watahamia kwenye mitandao ya kijamii kupata habari.
       Kutokana na sababu hizo chache nilizoorodhesha hapo juu hakika
       ukifungua blog na kuimarket vizuri utakuwa milionea. Wengi
       tunaendesha blogs lakini hatupo kimaslahi tupo kiburudani tu. Ni
       kweni ukiwa unaendesha blog inasomeka kwa watu unajisikia
       ufahari sana lakini tuache mambo ya ufahari wa kujulikana wakati
       hatuingizi pesa.
       Napenda nikushirikishe vitu vingi lakini naona kwa leo nikupe
       kiini cha email hii ambacho nataka tuanze biashara na wewe kwa
       kuweka mtangazo yangu kwenye blog yako nianze kukulipa kwa mwezi
       kulingana na watu wanaotembelea blog yako.
       Tafadhali tumia muda mchache kubonyeza link hii
  HTML http://www.chatguest.com/tehama/place-our-ads-on-your-blog-get-paid-per-month-according-to-total-blog-visitors/<br
       />chukua codes za matangazo weka kwenye blog yako kisha
       wasiliana
       nami whatsapp kwa namba 0652428852 au email address
       chatguestforum@gmail.com
       Karibu tutengeneze ajira zetu binafsi kwa kutumia blogs
       Regards,
       The chatguest Team.
       *****************************************************
       Page 1 of 1