DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Makala Bora
*****************************************************
#Post#: 3310--------------------------------------------------
LISHE BORA KABLA YA UJAUZITO.
DIR By: bahati93
Date: October 30, 2016, 3:56 pm
---------------------------------------------------------
Kila mtu anajua ya kwamba jambo ili lifanikiwe kwa
ufanisi mkubwa linahitaji maandalizi. Hivyo basi kunamaandalizi
yanatakiwa kufuatwa na mwanamke kabla hajapata mimba ili
kumwazesha kuwa na afya sahihi ya kubeba mimba hali kadhalika na
mtoto azaliwaye.
Vyakula vya kula.
•
mapapai, mazabibu n.k pia mboga za majani, sukuma wiki,
filigisi, mchicha hupatia mwili madini ya chuma kwa ajili ya
kutengeneza damu, pia kupatikana kwa vitamin huongeza kinga ya
mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali.
•
na mafuta ya omega 3 ambayo ni mazuri sana kwa afya pia
huwezesha mwili kujirepea, pia protein inayopatikana katika
mimea kama maharage, soya ni nzuri unashauriwa mara nne tu tano
kwa wiki sio mbaya.
•
huimarisha mifupa, pia kuna madini magnesium na mengine mengi
ambayo yatafanya afya kuwa katika ubora.
•
kuungia vyakula vyako, mafuta yanayoganda kama ya nyama na
mengine kuyala mengi hupelekea mwili kuzalisha insulin nyingi
ambayo huingiliana na mfumo mzima wa urutubishwaji wa majai ya
uzazi.
•
muhimu sana kwa ukuaji wa ubongo wa mtoto tumboni hii humfanya
kutokuwa na matatizo yoyote ya akili.
•
kuflashi mwili kuwa salama na kama uzito ni mkubwa kupita
kiwango yakupasa kupunguza kilo zisizotakiwa hivyo basi mtoto
kuwa na nafasi kubwa ya kukuwa na kudhaliwa pasipo na hitilafu
yoyote.
Vyakula vya kukwepa(kutokula).
•
nyingi Zaidi ili kukabiliana na ongezeko la sukari na hivyo
kupelekea matatizo ya mayai ya kike (kumbuka insulin haiendi
sawa na mayai ya kike).
•
mtoto kuzaliwa hivyo kujalia afya njema ya mtoto.
•
ya nyama.
•
*****************************************************
Page 1 of 1