URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ri...
       *****************************************************
       #Post#: 3300--------------------------------------------------
       Template inayofanya blog yako kusomeka vizuri kwenye simu. Pata
       watembeleaji wengi sasa
   DIR By: stakeholder
       Date: October 19, 2016, 5:13 am
       ---------------------------------------------------------
       Teknolojia imekua sana. Siku hizi watu wanaotumia simu kuperuzi
       mitandao ni wengi kuliko wanaotumia kompyuta. Ewe blogger ili
       upate watembeleaji wengi kwenye blog yako hakikisha unaweka
       template hii kwenye blog yako. Template hii ni bure kabisa. Blog
       yako itakuwa na mwonekano mzuri na kuvutia watembeleaji. Sasa
       blog ni ajira tosha
       Kuiweka template hii kwenye blog yako ni rahisi sana fuata hatua
       hizi
       1. Download template hii ambayo haijafikia hata Mb moja yaani ni
       ndogo sana bonyeza hapa kudownload ndani ya dakika moja itakuwa
       tayari
  HTML https://docs.google.com/uc?authuser=0&id=0B-oY3XMKQ_MaaFdWdzFPU3AzY3c&export=download
       2. Ingia kwenye blog yako sehemu ya dashboad click template
       kisha angalia kwenye kona ya juu kulia utaona maneno
       backup/restore bonyeza hapo
       3. Nenda sehemu ya ku-upload file kisha chukua file
       ulilodownload toka kwenye simu yako au kompyuta mwisho bonyeza
       upload .
       Hapo umemaliza sasa blog yako itaonekana kwenye simu bila
       matatizo hivyo utapata watu wengi sana wanaosoma blog yako
       kwakua siku hizi teknolojia ya simu imekua sanaNitarudi
       kumalizia jinsi ya kufanya matangazo ya blog yako yaonekane kwa
       watumiaji wa simu ili uongeze mapato kwenye blog yako
       *****************************************************
       Page 1 of 1