DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Makala Bora
*****************************************************
#Post#: 3299--------------------------------------------------
Ofa ya kutangaza blog au biashara kwa shilingi elfu tano mwezi
mzima wahi sasa.Tangazo lako litaones
DIR By: stakeholder
Date: October 18, 2016, 9:48 am
---------------------------------------------------------
Ofa ya kutangaza blog yako au biashara yako kwa shilingi elfu
tano tu kwa mwezi chatguest Ads ni mtandao unaowainua
wajasiriamali wadogo wadogo ambao mitaji yao haiwawezeshi
kutangaza biashara au blog zao kwenye television au kwenye
mitandao kama facebook. Tukichukulia mfano kutangaza google
lazima uwe na USD 20 hiki ni kiwango cha chini mbaya zaidi hiyo
USD 20 itaisha bila kupata wateja wengi kwakua wanatoza pesa
nyingi kwa idadi ya walioona tangazo.
Jaribu kutangaza na chatguest Ads hutajutia na utaendelea
kutangaza nasi miaka yote. Mfano kwa mwezi mzima unalipia
shilingi elfu tano tu tangazo lako linaoneshwa kwenye blogs
zaidi ya 600 za Tanzania tu. Hiyo watu wengi wataifahamu
biashara yako au biashara yako na kuongeza mauzo yako.
Ukilipia elfu 60 tangazo lako litaoneshwa kwenye blog hizo zaidi
ya 600 mwaka mzima wakati kuweka tangazo lako facebook elfu 60
inaweza kuisha ndani ya wiki moja na ukapata watu waliosoma
tangazo lako 300 tu sasa watu miatatu watakusaidia nini?
Tuma tangazo lako sasa kwenda chatguestforum@gmail.com au Kama
hujui kutengeneza tangazo andika ujumbe tuma kwenda 0652428852
Tutakusaidia kutengeneza tangazo lako bure au Unaweza kutuma
Tangazo kwa whatsapp kwa namba hiyo hiyo 0652428852
Tangazo lako litaanza kuonekana mara moja baada ya kulipia pesa
shilingi elfu tano tu.
Kumbuka utaweza kujua wangapi wametazama tangazo lako kwa siku
kwa wiki kwa mwezi hata kwa mwaka. Yaani tunatumia teknolojia ya
hali ya juu ambayo utajua pesa yako imetumikaje je imetumika kwa
faida au kwa hasara ili upate uamuzi wa kulipia tena mwezi ujao
au uache.
Karibu sana ofa hii ni ya muda hivyo wahi mapema unufaike nayo
*****************************************************
Page 1 of 1