URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Makala Bora
       *****************************************************
       #Post#: 3292--------------------------------------------------
       Jifunze Jinsi ya Kulipwa Mtandaoni
   DIR By: ommy
       Date: October 15, 2016, 3:17 am
       ---------------------------------------------------------
       Home » business » Jifunze Jinsi ya Kulipwa Mtandaoni
       Jifunze Jinsi ya Kulipwa Mtandaoni
       OMMY BOY  33 minutes ago  0 No comments
       Chatguest Ads. Haya ni matangazo ambayo ukiweka kwenye blog yako
       utaanza kulipwa kirahisi si kama mitandao mingine ina masharti
       magumu kujiunga au masharti kutumiwa pesa.
       Weka matangazo yetu kwenye blog yako uanze kulipwa. malipo ni
       kwa idadi ya watu wanaotembelea blog yako kwa mwezi. Ukishaweka
       matangazo yetu tutakueleza jinsi ya kutambua idadi halisi ya
       watu waliotembelea blog yako kwa mwezi ambao tunazidisha mara
       mbili mfano kama blog yako imetembelewa na watu 100,000 kwa
       mwezi mshahara wako ni tsh 200,000 hakuna kikomo cha malipo hata
       kama blog yako imetembelewa na watu milioni moja utalipwa sh
       milioni mbili zako bila wasiwasi.
       Kuweka matangazo yetu kwenye blog yako uanze kulipwa fuata hatua
       hizi
       Copy codes hizi za matangazo bonyeza neno select kisha copy
       hakikisha unaweka sehemu tatu kwenye blog yako kama
       ilivyoelekezwa hapa chini. Pia usifute code yoyote copy kama
       zilivyo ili kuhakikisha report ya watembeleaji wako  inakuwa
       nzuri na matangazo yanaonekana vizuri kwenye blog yako
       *****************************************************
       Page 1 of 1