DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Makala Bora
*****************************************************
#Post#: 3276--------------------------------------------------
Ukweli kuhusu kutangaza biashara kwenye mtandao wa facebook soma
hapa
DIR By: stakeholder
Date: October 5, 2016, 12:24 am
---------------------------------------------------------
Watu wengi sikuhizi wanatangaza biashara facebook hata makampuni
yanafanya hivyo yakizani biashara zao zitajuliakana kwa watu
wengi ili nao waongeze mauzo. Hata wamiliki wa blog nao
wanajaribu kutangaza facebook ili kupata watembeleaji kwenye
blog zao. Wanaamini kuwa wanapata watu wapya .
Ukweli ni kwamba unapoteza pesa nyingi kutangaza facebook bila
mafanikio. Nitakuleza kwanini. Nia sababu mbili za msingi ambazo
nimeshazifanyia utafiti. Majibu niliyopata yanasikitisha. Watu
hawajaelewa kuwa wanapoteza pesa bure kutangaza facebook.
Sababu ya kwanza inayonifanya nisitangaze facebook tena ni hiii.
Facebook inaonesha tangazo lako kwa watu wale wale kila siku
tunaita frequency capping kwa kingereza. Yaani facebook huwezi
kuonesha tangazo lako kwa unique members only facebook haina
kipengele hicho. Madhara yake unalipia tangazo lako pesa nyingi
kwa watu wale wale. Sasa jiulize kama mtu umempa ujumbe zaidi ya
mara moja ukimfahamisha bidhaa zako lakini asiitikie au
ameshaitikia kwa kununua bidhaa zako unaendelea kumpa ujumbe huo
huo mara nyingi tena kwa kulipia pesa nyingi unakuwa unafanya
nini? Fanya utafiti tazama matangazo yanayojitokeza facebook
ukiwa online utaamini nachokisema facebook inaonesha mara nyingi
kwa mtu huyo huyo hata kama ameshalibonyeza na kusoma bado
facebook itaendelea kuonesha tangazo hilo hilo mara nyingi.
Kumbuka unalipia kwa click au kwa impression kwa hiyo kuonesha
tangazo lako kwa mtu moja mara nyingi unapata hasara.
Sababu ya pili ukitangaza facebook kwa kulenga tangazo
lionekane Tanzania ndo umejipoteza kabisha. Watumiaji wengi wa
facebook wanatumia facebook bure yaani hata kama simu yake haina
salio anaweza kuipata facebook na matangazo anayaona sasa kama
unalipia kwa kila anayebonyeza tangazo hapo ndiyo umejiua
kabisa. Matangazo mengi ya kulipia kwa click yanalenga kupeleka
traffic kwenye blogs au kumpeleka mtu sehemu yenye maelezo
zaidi. Sasa nakuhakikishia clicks nyingi unazolipia hazipeleki
watu sehemu uliyotaka. Mfano mtu ambaye simu yake haina salio la
muda wa maongezi ambao unaweza kukatwa ili apate huduma baada ya
kutoka facebook atapewa ujumbe no internet connection mara tu
akianza kuoingia kwenye blog yako au website yako unayoitangaza
lakini facebook itahesabu kama mtu huyo ameclick na amekwenda
kwenye website yako.
Jinsi ya kutatua tatizo hilo ili pesa zako zitumike vizuri kwa
kutangaza kwenye mitandao ya kijamii
Amini usiamini kuna mtandao mmoja tu unaoweza kutangaza biashara
online na ukaonesha tangazo kwa watu wapya tu. Kadili
unavyoonesha tangazo kwa watu wapya ndivyo unavyoongeza
uwezekano wa kupata wateja wapya watakaonunua bidhaa zako.
Pia unavyoitangaza blog yako au website kwa watu wapya ndivyo
unavyoongeza watembeleaji wengi kwenye blog yako kwakua idadi ya
watu watakaoifahamu blog yako itakuwa kubwa kuliko kuonesha
tangazo kwa watu wale wale kila siku. Nikutajie mtandao ambao
ukiweka tangazo lako litaonekana kwa watu wapya tu yaani tangazo
likionekana kwa kwako halitaoneshwa tena bali mtandao huo
utapeleka tangazo lako kwa mtu mwingine naye alione. Mtandao huo
ni www.chatguest.com na blogs zote ambazo ni matawi ya
chatguest.com Kwa siku unauhakika wakupata watazamaji wapya si
chini ya elfu kumi. Tuma tangazo lako sasa kwenda
chatguestforum@gmail.com tangazo lako litaanza kuonekana le
oleo.
Kama huwezi kutengeneza tangazo basi tuambie tukutengenezee
kulingana na mahitaji yako. Tuma sms tu kwa namba 0756878929
Karibu upate wateja wapya tu na utumie pesa kidogo sana
kutangaza upate wateja wengi. Usitangaze facebook unapoteza pesa
bure
*****************************************************
Page 1 of 1