URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Makala Bora
       *****************************************************
       #Post#: 3244--------------------------------------------------
       YARIYOJIRI KUHUSU UKUTA .
   DIR By: judge
       Date: August 30, 2016, 7:06 am
       ---------------------------------------------------------
       Habari za mchana ,
       Wadau hali imekuwa tete kuhusu Maadamano marufu UKUTA ambayo
       ulizoa umaarufu takribani mwezi mmoja sasa toka tamko
       lilipotolewa na Mwenyekiti wa Chadema,sasa unapingwa kila kona
       kuwa ni kuwachochea makundi yote kwenye jamii kuingia kwenye
       machafuko kwani tayari serikali imeshakataa kutokuwepo na
       maandamano hayo.
       Wahusika wakuu wanatapata huku na huku ili kutafuta mbinu ya
       kujinasua si serikali wala si waandaa maandamano hakuna mwenye
       welekeo wa kufanikisha kilichopo mbele ya mjadala.
       Ni kweli maandamano yanasaidia kufikisha ujumbe kwa yale
       yanayokiukwa na serikali lakini  hatuna budi kufuata utaratibu
       na kanuni zilizowekwa kwa kuzingatia katiba na uongozi uliopo
       hasa katika kipindi hiki ambapo kuna sintofahamu kukithiri kwa
       ujambazi na kuwapoteza ndugu zetu Polisi.
       #Post#: 3253--------------------------------------------------
       Re: YARIYOJIRI KUHUSU UKUTA .
   DIR By: stakeholder
       Date: August 31, 2016, 3:56 pm
       ---------------------------------------------------------
       Mpigie kura mwandishi huyu alipwe
       *****************************************************
       Page 1 of 1