DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Makala Bora
*****************************************************
#Post#: 3234--------------------------------------------------
Ukiandika makala hakikisha unajipigia kura kuonesha na wewe
umeipenda
DIR By: stakeholder
Date: August 27, 2016, 4:16 am
---------------------------------------------------------
Habari za muda huu ndugu mwandishi wa makala katika mtandao wa
chatguest.com. Tunatumaini u mzima wa afya na unaendelea kutunga
makala nzuri za kuelimisha jamii yetu. Kama unavyojua jamii yetu
ipo kwenye digitari siku hizi hata mzee wa kijijini anajua
kutafuta habari kwenye mitandao kupitia simu yake ya mkononi.
Hii ni fulsa kwako. Tumekuanzishia ajira hii ya kuelimisha jamii
kwenye mtandao wa chatguest.com utalipwa kama tulivyokuahidi.
Ukishamaliza kuandika makala yako na mtaalamu akaihariri na
kuiwekea box la kupigia kura hakikisha unajipigia kura.
usipojipigia kura inamaanisha hata wewe haujikubali. Pia mwambie
mke wako au mume wako akupigie kura. Malipo ni kwa kila kura ya
ndiyo unayopata. Kusanya kura nyingi uwezavyo nasi tutakulipa.
Chatguest.com ni mtandao wa kipekee tanzania
*****************************************************
Page 1 of 1