DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Makala Bora
*****************************************************
#Post#: 3231--------------------------------------------------
mbinu kuu ya kupata kura nyingi kwenye makala yako ni kuwatumia
link ya makala yako marafiki
DIR By: stakeholder
Date: August 25, 2016, 12:50 pm
---------------------------------------------------------
Habari ndugu mwandishi wa makala hapa chatguest.com , napenda
kukukumbusha umuhimu wa kuinadi makala yako kwa marafiki ili
waje wakupigie kura kwenye makala yako.
Watumie marafiki link ya makala yako huko facebook twitter Whats
app na kwingineko ili waje chatguest.com kukupigia kura. Unaweza
kuwa hujui neno link ya makala yako inamaanisha nini. Link ni
ile sentense ipo juu ya blowser yako ukiwa unasoma makala yako
sentense hiyo mtu akibonyeza kama umeiweka whatsapp basi
atajikuta analetwa kwenye makala yako Mfano wa link ya makala ni
hii
HTML http://www.chatguest.com/makala-bora-(mb)/kiini-cha-ongezeko-la-ulawiti/
Hiyo hapo juu ndiyo mfano wa link ya makala unayoandika ambayo
unatakiwa uicoppy kama ilivyo na kuipaste whatsapp facebook
kwenye email au hata twitter au kama unamiliki blog basi
unaandika post ya kuwaomba watembeleaji wako wakupigie kura kwa
kuwaelekeza wabonyeze link ya makala yako na kuisoma kisha
wakupigie kura.
*****************************************************
Page 1 of 1