DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Makala Bora
*****************************************************
#Post#: 3228--------------------------------------------------
KIINI CHA ONGEZEKO LA ULAWITI
DIR By: Kabanda
Date: August 25, 2016, 6:16 am
---------------------------------------------------------
Inasikitisha kuona jamii imezama katika ukatili wa kingono kwa
kuwalawiti watoto hususani wa kiume. Tafiti zisizo rasmi
makatili hao dhidi ya haki za watoto hudhani kwa kufanya hivyo
wanaepuka janga la UKIMWI. Dhana iliyojengeka ni kuwa watoto wa
kiume hawana maambukizi ya UKIMWI hivyo wengi hudhani kwa
vitendo vyao watakidhi haja zao na kuepuka UKIMWI.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, WAKATI NI HUU!! Nami ninasema
pamoja na changamoto nyingi tukemee ukatili wa aina zote sasa.
Jamii yetu imegubikwa na rushwa na matendo mengi ya ukatili wa
kingono yanamalizwa chini kwa chini. Anza sasa kukemea na
usisite kwa kuchelea jamii kutokubali huduma yako. Anza wewe na
wengine watafuata
#Post#: 3229--------------------------------------------------
Re: KIINI CHA ONGEZEKO LA ULAWITI
DIR By: stakeholder
Date: August 25, 2016, 10:12 am
---------------------------------------------------------
Mpigie kura mwandishi huyu alipwe
*****************************************************
Page 1 of 1