URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Makala Bora
       *****************************************************
       #Post#: 3217--------------------------------------------------
       DALILI ZA KUADIMIKA KWA MKAA NCHINI.
   DIR By: judge
       Date: August 24, 2016, 12:11 am
       ---------------------------------------------------------
       Ni matumaini yangu kuwa mmeamka salama mkiwa na afya tele
       kabisa,na ni jambo la kheri kama wewe na familia yako mko salama
       maana wapo baadhi waliotamani kuiona leo lakini
       katu!nakukaribisha tena katika nafasi ya pekee tujadili kichwa
       cha habari hapo juu kwa kuwashirikisha watu tofauti ili tupate
       mwelekeo walau unaovutia na wenye tija.
       Kuadimika ni kitendo cha kitu fulani,jambo fulani au mtu
       fulani kutoonekana mara kwa mara yaani kama ilivyozoeleka hapo
       awali mtaani kwako,tunaposema dalili za kuadimika kwa mkaa
       nchini hasa TANZANIA tunamanisha kuwa kuna viashiria
       vinavyoonesha kukosekana,kutopatikana,kutokuwepo kabisa kwa
       bidhaa hiyo iliyo na watumiaji wengi hasa wa hali yachini,aidha
       inaweza kuwepo ikawa ni bei kubwa kuipata,pia inaweza
       isipatikane kabisa bado ikawa kama almasi kutokana na gharama za
       uzalishaji hadi usafirishaji kuwa washida,naomba tuangalie hiki:
       Je, kuzuia biashara ya mkaa kunawanufaisha akina nani?
       je, wananchi wa hali ya chini wana elimu tosha katika matumizi
       ya gas?
       Je, watu wote wako tayari kuingia kwenye matumizi ya gas nchi
       nzima?
       Je,kila mwananchi anaweza kumudu gharama za gas kama ilivyo
       kuwa kwenye mkaa?
       Karibu tushadili kwa pamoja share,like mpaka tupate mwelekeo na
       elimu zaidi mpenzi msomaji.
       itaendelea .....
       wako
       Hakimu Sadock,
       S.L.P 7408
       DSM Tanzania,
       hakimusadock@gmail.com/judgeman29@gmail.com
       #Post#: 3218--------------------------------------------------
       Re: DALILI ZA KUADIMIKA KWA MKAA NCHINI.
   DIR By: judge
       Date: August 24, 2016, 12:13 am

       #Post#: 3224--------------------------------------------------
       Re: DALILI ZA KUADIMIKA KWA MKAA NCHINI.
   DIR By: stakeholder
       Date: August 24, 2016, 12:13 pm
       ---------------------------------------------------------
       Muunge mkono mwandishi huyu kwa kumpigia kura hapo juu

       Page 1 of 1