DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Makala Bora
*****************************************************
#Post#: 3213--------------------------------------------------
Jinsi ya kuandika makala nzuri ili upate washabiki wa kukupigia
kura na ulipwe pesa nyingi.
DIR By: stakeholder
Date: August 23, 2016, 2:22 am
---------------------------------------------------------
Habari ndugu mwandishi wa makala mbalimbali hapa chatguest.com.
Napenda nikushirikishe mbinu za kuandika makala ili makala yako
ipendwe na watu wengi na wakupigie kura ya ndiyo ili ulipwe
haraka.
Chatguest.com inakulipa kwa kila makala utakayoiandika kwenye
mtandao huu wa chatguest.com makara yako ukishaiandika mtalamu
husika ataiwekea sehemu ya kupigia kura kisha utalipwa kwa kila
kura ya ndiyo unayopata kwenye makala yako.
Makala yako ukiiandika na kuanza kupigiwa kura itahesabiwa siku
366 baada ya hapo makala hiyo itafungwa kupigiwa kura yaani
ndani ya siku 366 ambazo ni mwaka mmoja kura zote unazopata
zinathaminishwa na pesa. Malipo ya kwanza ukifikisha kura 100
Pia kila unapofikisha kura 100 toka siku uliyolipwa pesa basi
utalipwa tena mpaka makala yako ikifungwa yaani baada ya mwaka
mmoja.
Kura moja ni sawa na Tsh 250 hivyo ni wewe tu kuandika makala
nzuri na kuinadi kwa watu mtaani kwako au kuwatumia link ya
makala yako kwenye facebook whatsapp twitter na hata kuiweka
link hiyo kwenye blog yako kama tangazo ili watu waje kuisoma na
kukupigia kura ili ulipwe.
Jinsi ya kuandika makala nzuri ili ipendwe na wasomaji na kukupa
kura ya ndiyo
Kwanza kabisa hakikisha unaandika makala inayotatua matatizo
katika jamii mfano wa makala zinazotatua matatizo katika jamii
ni kama hii yenye kichwa hiki. “ Jifunze kutengeneza sabuni za
maji ili uanzishe biashara yako” au namna ya kufanya mapenzi
mapaka mwenza wako akukumbuke” makala kama hizo lazima msomaji
atavutiwa kwakua lazima utamgusa shida yake hivyo utajikuta
unapigiwa kura ya ndiyo haraka na watu wengi watakupigia kura.
Pia unaweza kutumia mbinu hii. Sikiliza vyombo vya habari Kama
redio TV kisha ile habari inayovuma sana iandike hapa mtandaoni
mara tu unapoisikia kisha chini yake weka uchambuzi wako mfano
unaweza kusikia kuwa Mh Kasimu Majaliwa ajiuzuru uwaziri mkuu
basi tumia fulsa ya habari hiyo andika hapa mtandaoni kisha weka
uchambuzi wako kwenye habari hiyo hakika watu wakisikia habari
kama hizo mitaani lazima huwa wanazitafuta mitandaoni hivyo
utapata watu wengi toka google wanaoseach habari hiyo hapo hapo
watakupigia kura ya ndiyo kwakua umewapa habari waliokuwa
wanaitafuta pia umeifafanua au kuanzisha mjadala.
Mwisho inadi makala yako. Hii ni muhimu sana. Hata wagombea wa
Urais na ubunge wanaweza kuwa na sera nzuri lakini bila kuzinadi
sera zao kwa kupitia kampeni za kisiasa hawawezi kupigiwa kura.
Hivyo hivyo na wewe unaweza kuandika makala nzuri hapa mtandaoni
lakini hujainadi kwa marafiki waliopo whatsapp waliopo facebook
waliopo twitter. Fanya kampeni sambaza link ya makala yako
kwenye mitandao ya kijamii tuma link ya makala yako wenye email
za watu hakika unaweza kupata hata kura elfu kumi kwa siku
kulingana na mtandao ulioutengeneza. Sasa ukipata kura elfu kumi
kwa siku una Tsh 250x 10000=2,500,000 hizo ni pesa zako na
utalipwa hakuna utapeli hapa chatguest.com
Kazi ni kwako tunatengeneza ajira kwa vijana wanaotumia internet
Muhimu: Tangazo hakikisha umejisajiri kwenye mtandao wetu mpya
wa kisasa ili ulipwe kila unapoandika makala kwenye mtandao huo
millionairebloggers.com Bonyeza hapa
HTML http://millionairebloggers.com/index.php?login/login
Ukiandika
hapa chatguest huwezi kulipwa.
#Post#: 3241--------------------------------------------------
Re: Jinsi ya kuandika makala nzuri ili upate washabiki wa
kukupigia kura na ulipwe pesa nyingi.
DIR By: Nyakirangani
Date: August 29, 2016, 4:04 am
---------------------------------------------------------
Ashumu uchaguzi wa Tanzania bara unarudiwa utamchagua nani kati
ya LOWASSA na MAGUFULI
#Post#: 3270--------------------------------------------------
Re: Jinsi ya kuandika makala nzuri ili upate washabiki wa
kukupigia kura na ulipwe pesa nyingi.
DIR By: datipcm95
Date: September 24, 2016, 1:01 pm
---------------------------------------------------------
Hamuoni kwamba mda nimwingi uo kama kijana aliye na shida atakaa
siku 366zote
#Post#: 3272--------------------------------------------------
Re: Jinsi ya kuandika makala nzuri ili upate washabiki wa
kukupigia kura na ulipwe pesa nyingi.
DIR By: stakeholder
Date: September 28, 2016, 7:46 am
---------------------------------------------------------
--- Quote from: datipcm95 link ---
>
> Hamuoni kwamba mda nimwingi uo kama kijana aliye na shida
atakaa siku 366zote
>
--- End Quote ---
Haimaanishi kulipwa mpaka zipite siku 366 hapana. Huo ni muda wa
makala yako kuwa na thamani ya kupigiwa kura. Malipo ya kwanza
ni unapofikisha kura 100 hata kama ukizipata kwa siku moja
utalipwa siku hiyo hiyo
#Post#: 3332--------------------------------------------------
Re: Jinsi ya kuandika makala nzuri ili upate washabiki wa
kukupigia kura na ulipwe pesa nyingi.
DIR By: promo1
Date: December 16, 2016, 1:32 pm
---------------------------------------------------------
JE UNA MDOGO, NDUGU, RAFIKI AU MWANAO AMBAE BADO ANASOMA KIDATO
CHA 1-6,HABARI NJEMA NI HIZI AMBAZO UNAWEZA UKASHARE NAE
kupitia tovuti yetu ya
www.idiscusacademy.com ni tovuti/FORUM pekee ambayo
inawakutanisha wanafunzi toka sehemu/nchi tofauti duniani
kupitia group letu la facebook ambalo lina WATUMIAJI
90,726,watumiaji hawa ni wanafunzi na walimu ambao wanatoka kila
kona ya dunia ,,kupitia forum ambayo tumeiansisha sasa tuna
lengo la kumpa mwanafunzi uhuru kwa ajili ya kuweza kujadili
masuala tofauti ya kielimu kwa uhuru mkubwa kwa ajili ya kuweza
kufanya majadiliano tofauti ambayo yanahusiana na ELIMU,faida
kadhaa ambazo mwanafunzi anaweza akazipata kupitia forum na
facebook group yetu ni hizi zifuatazo
1.Ataweza kuungana na wanafunzi toka kila kona ya dunia mfano
wanafunzi kutoka SOUTH
AFRICA,GHANA,NIGERIA,UGANDA,KENYA,MALAWI,INDIA,USA na kuweza
kufanya majadiliano tofauti kuhusiana na masuala ya kielimu apa
tunaona ni jinsi gani mwanafunzi anaweza akapata fursa tofauti
kwa kuwauliza wanafunzi wa nje kuhusu SYSTEM ya kielimu ya nje
jinsi ilivo na pia tunaona kuwa kwa wale ambao watakua na ndoto
za kuweza kusoma nje wanaweza wakawadadisi wenzao kuhusiana na
suala zima la SCHOLARSHIP katika nchi hizo.
2.Mwanafunzi ataweza pata msaada wa kusaidiwa maswali ambayo
yamemshinda toka kwa wanafunzi wenzake au walimu ambao
wamejiunga na forum/tovuti yetu hii ni pale anapokua nyumbani
halafu ikatokea kuwa kuna maswali yamemshinda basi ataweza
kuyatuma kwenye tovuti yetu na kuweza kupatiwa msaada na
wanafunzi au walimu ambao wamejiunga na tovuti yetu hadi sasa
3.Kupitia forum/tovuti yetu mwanafunzi ataweza kutumia vizuri
muda wake wakati akiwa online bi maana bado hata akiwa anatumia
mtandao bado atakuwa anatumia vizuri muda wake kwa kujadili kitu
ambacho kina manufaa kwa upande wake.
SUPPORT US KWA KUSHARE NA MARAFIKI,NDUGU AMA MWANAO,ASANTENI
SANA WADAU WANGU KWA KUTUMIA MUDA WENU KUSOMA UJUMBE HUU
Unaweza ukatembelea forum yetu kwa kubofya link hii hapa chini
www.idiscusacademy.com /FORUM YA KUJIFUNZA
*****************************************************
Page 1 of 1