DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Na...
*****************************************************
#Post#: 3206--------------------------------------------------
Breaking news: serikali yaanza kuajiri baada ya kusitishwa kwa
muda kwa ajiri ya uhakiki wa watumish
DIR By: stakeholder
Date: August 20, 2016, 1:14 am
---------------------------------------------------------
Habari njema kwa vijana mnaotafuta kazi sasa Serikali yaendelea
na mchakato wa ajira kama ilivyokuwa awali baada ya kukamilisha
zoezi la kuhakiki watumishi hewa kama alivyoagiza Mh Rais wa
jamhuri ya Tanzania Dr john Pombe Magufuli kwahiyo endelea
kutembelea mtandao huu kupata habari za nafasi za kazi kila
zinapotangazwa na serikali. Chatguest.com itakujulisha kila
kilichoandikwa kwenye website ya serikali inayojihusisha na
zoezi la kutangaza nafasi za kazi serikalini na kuajiri
watumishi ajira.go.tz
HTML http://i.grab.la/06814-1a8c3d5e-c56f-4af6-8ac3-f0a70a54f96f.png
*****************************************************
Page 1 of 1