DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Makala Bora
*****************************************************
#Post#: 3193--------------------------------------------------
Leo nataka nikufundishe jinsi ya kujiajiri kwa kutumia mitandao
ya kijamii
DIR By: stakeholder
Date: August 10, 2016, 1:57 am
---------------------------------------------------------
Habari ndugu msomaji wa makala hii nzuri. Unajua kuwa ajiria
siku hizi ni tatizo. Kwa watalaamu wa mambo ya kijamii tunasema
ukiona kuna tatizo kwenye jamii hilo tatizo libadili liwe fulsa
ya wewe kuneemeka.
Natolea mfano wa tatizo la ugonjwa wa ukimwi duniani. Ukimwi
umekuwa tatizo kubwa lakini kupitia ukimwi watu wamepata ajira
kwenye mashirika yanayojihushisha na kuzuia maambukizi ya ukimwi
kutoa elimu na kadhalika pia wagunduzi wa kondomu, madawa ya ARV
wapo wananeemeka kwa kuuza vitu hivyo. Kama ukimwi ukiisha basi
ikakuwa mwisho wa mashirika hayo na madawa hayo yatatupwa
Hivyo basi hata wewe kupitia tatizo la ajira duniani unaweza
kulifanya tatizo hilo kuwa neema kwako. watu wanatafuta kazi na
siku hizi watu wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta
kazi. Sasa hapa unaweza kutengeneza mabilioni ya pesa kupitia
wazo hili. Nikupe chemsha bongo kidogo kama umeelewa nataka
kuzungumzia wazo gani hapa. Embu andika hapa chini unadhani
nataka kukueleza wazo gani hapa la kutengeneza pesa kupitia
mitandao ya kijamii kipindi hiki cha ukosefu wa ajira?
*****************************************************
Page 1 of 1