DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Jukwaa la wanafunzi Tanzania (JUWATA)
*****************************************************
#Post#: 3190--------------------------------------------------
Matokeo ya kidato cha nne 2016/2017 yatakuwaje? matukio yote ya
mtihani wa kidato cha nne 2016/2017
DIR By: stakeholder
Date: August 9, 2016, 7:41 am
---------------------------------------------------------
Matokeo ya kidato cha nne 2016/2017 yatakuwaje? matukio yote ya
mtihani wa kidato cha nne 2016/2017 tunapena hapa
Jisomee muda mwingi ili matokeo ya kidato cha nne 2016/2017 yawe
mazuri kwako. Hatimaye kidato cha nne 2016 mnajiandaa kwa
mtihani wa kidato cha nne 2016. Zimebaki siku chache sana. Huu
ndio muda mzuri wa kuweka vitu sawa yaani fanya revision ya kile
ulichofundishwa toka kidato cha kwanza.Ndugu msomaji kabla
hujaendelea kusoma makala hii unaombwa kuwajulisha wanafunzi wa
kidato cha nne hata kumi tu kuwa watembelee hapa ili nao
wanufaike na habari hii. Chukua simu yako ya mkononi andika
maneno yafuatayo Ingia www.chatguest.com
HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=1/<br
/> upate mambo muhimu pia tuma facebook kama upo na sehemu
nyinginezo hata kwa kuwaambia marafiki kwa mdomo.
Mtandao huu wa chatguest.com unakulipa ukiandika insha za
kuelimisha jamii au kuiburudisha Pia unalipwa ukialika marafiki
waje hapa www.chatguest.com
HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=1/<br
/>siyo hivyo tu bali unalipwa kila ukicheza games hapa chatguest
Jisajiri dakika mbili tu kwa kubonyeza hapa.
HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=1/
Acha kucheza cheza na kupoteza muda kwenye mitandao ya kijamii
kama facebook whats app na mitandao mingine inayoibuka kama
uyoga. Jisomee muda mwingi ili matokeo yako yawe mazuri. Japo
muda ni kama umekwisha lakini bado unaweza kubadili alama zako
za ufaulu. Namaanisha kama ulitakiwa upate C kwa maandalizi
hafifu uliyokwisha yafanya basi kuanzia leo kama utakuwa makini
na kuongeza jitihada hata kama zimebaki siku mbili bado unauwezo
wa kupata alama A+
Nina rafiki yangu kipindi nasoma kidato cha tano na sita alikuwa
akifundishwa darasani na mwalimu anasikiliza ana andika kila
kitu akitoka darasani hagusi chochote cha kujisomea mpaka siku
mbili kabla ya mtihani ndipo ana hangaika kwa hali na mali mpaka
anafaulu somo holo. Huyu rafiki anaitwa frank Ngajiro sasa hivi
ni afisa mkubwa kitengo cha TRA. Huyu jamaa hajawahi kufeli somo
lolote japo soma yake ilikuwa siku mbili kabla ya mtihani.
Nimekusimulia hadithi hiyo ili kukuhakikishia kuwa kwenye
maandalizi ya mtihani hata kama imebaki siku moja ni muhimu
sana.
Mtandao huu wa chatguest.com unakulipa ukiandika insha za
kuelimisha jamii au kuiburudisha Pia unalipwa ukialika marafiki
waje hapa www.chatguest.com
HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=1/<br
/>siyo hivyo tu bali unalipwa kila ukicheza games hapa chatguest
Jisajiri dakika mbili tu kwa kubonyeza hapa.
HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=1/
Ili matokeo ya kidato cha nne 2016/2017 yawe mazuri basi ewe
mwanafunzi wa kidato cha nne mwaka huu kaza buti pambana. Wale
wanafunzi wanaoendekeza ngono / mapenzi wakiwa shuleni ,kama
wewe ni kidato cha nne mwaka huu halafu unakatabia hako
tafadhali acha maramoja hasa kipindi hiki cha maandalizi ya
mtihani wa taifa kidato cha nne 2016. Hizo ngono utazikuta
mtaani baada ya kuwa umefanya vizuri mtihani wako wa kidato cha
nne. Ila isiwe ngono uzembe kwakua ukimwi upon a unauwa.
Nidhamu kwa walimu wako ni kitu muhimu sana hasa kipindi hiki
cha lala salama. Kuna kidato cha nne wakikaribia kuhitimu elimu
yao wanadhani sasa wao ni wakubwa kuliko walimu wao waliowapokea
tangu kidato cha kwanza hata vitau hawajajua kuvaa vizuri.
Wanafunzi hawa wanakuwa wanawadharau walimu wanawapiga walimu
eti wakijidanganya kuwa wameshamaliza kidato cha nne
watakutaniana wapi. Wanafunzi wenye mtazamo finyu hawajui bado
mwalimu huyo ana nafasi kubwa kumwezesha mwanafunzi afaulu hata
kama zimebaki siku mbili kabla ya mtihani.
Mtando wa chatguest.com unakutakia maandalizi mazuri ya mtihani
wa wa taifa kidato cha nne 2016 jipange pambana ili matokeo ya
kidato cha nne 2016/2017 wote tuseme ni mazuri sio mabaya.
#Post#: 3192--------------------------------------------------
Re: Matokeo ya kidato cha nne 2016/2017 yatakuwaje? matukio yote
ya mtihani wa kidato cha nne 2016/2
DIR By: Nadia
Date: August 10, 2016, 12:33 am
---------------------------------------------------------
mtihani wa kidato cha nne 2016 unaanza lini?
*****************************************************
Page 1 of 1