URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Makala Bora
       *****************************************************
       #Post#: 3189--------------------------------------------------
       BIASHARA YA MTANDAO/NETWORK BUSINESS MARKETING
   DIR By: rogers
       Date: August 7, 2016, 4:48 pm
       ---------------------------------------------------------
       Habari ndugu, Ujumbe huu ni mahsusi kwako wewe kijana/mzee
       ambaye unatafuta namna bora ya kutimiza ndoto zako huku
       tukikimbizana na muda(umri).
       Ni kweli kuwa wengi tunajitahidi kufanya biashara nyingi za
       kutuingizia kipato, au tumeajiriwa mahali tukitegemea mshahara
       wa mwezi na mikopo mbalimbali. Hayo yote ni mahangaiko
       tuliyonayo katika dunia hii yenye maendeleo ya sayansi na
       teknolojia.
       Napenda kuitambulisha kwenu njia salama na nzuri ya kutengeneza
       kipato kikubwa kuliko mshahara unapata au mkopo unaoutegemea.
       JE? UPO TAYARI?..........
       Njia hiyo ni BIASHARA YA MTANDAO, ndio..... Biashara ya mtandao
       ni moja ya fursa mpya kwa karne ya 21 ambayo inalipa nafasi ya
       kutimiza ndoto zako na za wapendwa wako.
       Biashara ya mtandao inakupa nafasi ya kuwa na ushirikiano mzuri
       na kila mtu kwani........ MAENDELEO YAKO  KWENYE BIASHARA
       yanategemea ushirikiano NA team yako utakayoijenga.
       Tuchukulie mfano wa makampuni machache ya biashara ya mtandao;
       1:TREVO LLC
       2:FOREVER LIVING PRODUCTS
       3:GNLD
       4:ORGANO-GOLD
       5:ORIFLAME
       6:FOURCORNERSALLIANCE
       7:NEPSTAR....
       Haya ni baadhi tu ya makampuni kwa Tanzania.
       Mfumo wa biashara ya mtandao upo hivi;......
       1:UWE MWANACHAMA
       2:UJENGE TEAM NA UISUPPORT TEAM
       3:PATA PESA.
       Vitu vitatu tu vinakufanya uanze kutimiza malengo yako kwa
       haraka ukiwa na uhakika wa kukimbizana na muda(umri).
       Pia uzuri wa biashara ya mtandao, unaweza kuifanya popote
       ulipo(kazini, nyumbani, safarini n.k) na mwisho wa siku
       unatengeneza pesa (ukiwa umelala).
       KWA MAELEZO ZAIDI WEKA NAMBA YAKO YA WHATSAPP ILI UPATE SEMINA
       BUUUUREEEE.
       0672-619696-whatsapp tu
       0763-990182- kupiga na SMS
       KARIBUNI SANA
       #Post#: 3191--------------------------------------------------
       Re: BIASHARA YA MTANDAO/NETWORK BUSINESS MARKETING
   DIR By: Nadia
       Date: August 9, 2016, 11:37 pm
       ---------------------------------------------------------
       mimi natamani kujiunga na biashara hizo ila je kweli wanalipa?
       #Post#: 3194--------------------------------------------------
       Re: BIASHARA YA MTANDAO/NETWORK BUSINESS MARKETING
   DIR By: rogers
       Date: August 10, 2016, 4:02 am
       ---------------------------------------------------------
       --- Quote from: Nadia link ---
       >
       > mimi natamani kujiunga na biashara hizo ila je kweli wanalipa?
       >
       --- End Quote ---
       
       Wanalipa ndugu, karibu nikuelekeze kwenye WhatsApp 0672619696 au
       piga namba0763990182
       #Post#: 3195--------------------------------------------------
       Re: BIASHARA YA MTANDAO/NETWORK BUSINESS MARKETING
   DIR By: stakeholder
       Date: August 11, 2016, 12:08 am
       ---------------------------------------------------------
       Elekeza na hapa
       *****************************************************
       Page 1 of 1