DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ri...
*****************************************************
#Post#: 3145--------------------------------------------------
Jinsi mmiliki wa blog hii alivyopoteza mapato yatokanayo na
matangazo
DIR By: Trainer
Date: July 5, 2016, 5:31 am
---------------------------------------------------------
Bloggers wengine bwana yaani wanaachia fulsa zinazojileta mpaka
mlangoni.
Itazame hii halafu sema kama yupo sahihi huyo blogger au
amechemka.
Umemwomba uweke tangazo lako kwenye blog yake tangazo dogo la
728X90 umlipe laki moja halafu yeye anakomaa na 250,000 kwa
mwezi wewe ukaamua hiyo laki mbili na hamsini bora utangaze
facebook au google adwords au hapa chatguest ili ulipie kwa real
clicks.
Pesa ambazo angalau angefaidi laki moja kila mwezi zimeenda
facebook wakati blog yake ina nafasi kibao upande wa kulia
upande wa juu na upande wa chini. Mbaya zaidi blog yake haina
custom domain yaani yupo kwenye free blogging platiform ya
blogspot. hii inamana halipii garama za hosting zaidi ya
kuandika story zake za udaku tena za kukopi toka kwenye blog
nyingine.
Swali huyu blogger yupo sahihi kukataa laki kila mwezi eti
anataka laki mbili na hamsini tu. Toa ushauri wako
*****************************************************
Page 1 of 1