URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ri...
       *****************************************************
       #Post#: 3129--------------------------------------------------
       Mbinu za kutangaza biashara au blog bure kwenye blogs zaidi ya
       600
   DIR By: stakeholder
       Date: June 20, 2016, 8:28 am
       ---------------------------------------------------------
       Habari ndugu msomji. Kama wewe ni mfanyabiashara au unamiliki
       blog na unahangaika kupata watazamaji wapya ili blog yako ianze
       kukulipa basi soma mpaka mwisho Habari hii
       Nakupa mbinu za kuitangaza bishara yako au huduma yako au blog
       yako kwenye blogs 600 bure mwaka mzima.
       Naanza na wamiliki wa blogs. Kama wewe unamiliki blog
       iliyofunguliwa zaidi ya mwaka mmoja na unaandika makala mara kwa
       mara yaani umedhamilia kuandika blog hiyo kwa manufaa ya
       kujiajiri kupiti kazi ya uandishi blog basi sasa utapata
       watazamaji wapya wataijua blog yako na watakupa matangazo uweke
       kwenye blog yako ili wakulipe.
       Gharama za kutangaza kwenye blog yako zitakuwezesha kununua gari
       zuri utajenga nyumba nzuri na  utafanya chochote upendacho kwa
       kutumia pesa unazozipata kupitia blog yako. Wengi
       wameshatajirika kwa uandishi wa blog.
       Fuata hatua hizi ili uitangaze blog yako bure kwenye blogs zaidi
       ya 600 mwaka mzima bonyeza hapa
       *****************************************************
       Page 1 of 1