DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Na...
*****************************************************
#Post#: 3125--------------------------------------------------
majina ya waliochaguliwa JKT 2016, Kujiunga na jkt 2016 habari
kamili na mijadala yote hapa
DIR By: stakeholder
Date: May 21, 2016, 3:19 am
---------------------------------------------------------
Ni tofauti na nafasi zilizotangazwa za kutuma maombi ya jkt 2016
sasa ni mafunzo ya jkt 2016 kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha
sita 2016 na ni kwa mujibu wa sheria. Tunajua ni baadhi ya
kidato cha sita waliohitimu mwaka 2016 wanatakiwa waripoti
kwenye makambi waliopangiwa kuanza mafunzo hayo ya jkt 2016
Basi soma Tangazo hili la kujiunga na mafunzo ya jkt 2016 ambalo
lina majina ya waliochaguliwa kujiunga jkt 2016
HTML http://i.grab.la/06515-4151cbde-6744-4e61-b062-a8c953f4166c.png
Habari ndo hiyo hapo juu kuhusu majina ya waliochaguliwa jkt
2016 kambi zote Tanzania
*****************************************************
Page 1 of 1