URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Jukwaa la wanafunzi Tanzania (JUWATA)
       *****************************************************
       #Post#: 3117--------------------------------------------------
       Ratiba ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne 2016
   DIR By: stakeholder
       Date: May 8, 2016, 4:04 am
       ---------------------------------------------------------
       Nadhani unataka kuisoma ratiba ya mtihani wa kidato cha nne 2016
       ili ujipange kuanzia sasa. Basi ratiba ya mtihani wa kidato cha
       nne 2016 ikitoka utajulishwa hapa hapa chatguest.com .
       Chatguest.com inakupa habari za kuaminika kutoka kwenye vyazo
       sahihi kama NECTA,NACTE,Moe, tamisemi na vyanzo vingine vya
       kuaminika.
       Jisajiri hapa dakika mbili tu kwa kubonyeza hapa
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=1/<br
       />ili utumiwe ratiba kwenye email yako.
       Kama unasoma hapa kwa kutumia simu ya smartphone basi weka app
       kwa kubonyeza hapa ili upewe taarifa kwenye simu yako
  HTML http://files.appsgeyser.com/wasapu.apk
       Unatafuta ratiba ya mtihani wa kidato cha nne 2016 ili uanze
       kupanga ratiba yako ya maandili ama sio? Wewe ni mwanafunzi
       mwelevu ndio mana unatafuta ratiba hiyo. Wanaosoma kwa lengo la
       kuongezeka miaka yaani four years fighting for foog muda huu
       wala hawahangaiki na ratiba hizo wao wanasubiri graduation tu
       wale wali na kurudi kukaa mtaani.
       Jiandae vizuri kijana ili siku ya mtihani ukianza ufanye mtihani
       wako bila woga.Usipojiandaa vizuri ujue siku ya mtihani utakuwa
       na woga sana maana unawaza kufeli tu.Wapo wanaodhani muda bado
       mrefu mpaka kufikia tarehe ya kuanza mtihani wa kidato cha nne
       2016 Kumbe wanajidanganya. Muda mzuri wa kuanza kujiandaa na
       mtihani wa taifa ni sasa.
       Unda magroup shuleni kwenu anzeni kudiscuss kwa ajiri ya mtihani
       wa kidato cha nne 2016. Usisubiri mapak mwezi moja kabla ndiyo
       uanze kuchanganyikiwa kupitia notes zote kuanzia kidato cha
       kwanza mpaka kidato cha nne anza sasa kuwa serious na maisha.
       Jisajiri hapa dakika mbili tu kwa kubonyeza hapa
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=1/<br
       />ili utumiwe ratiba kwenye email yako. Kama unasoma hapa kwa
       kutumia simu ya smartphone basi weka app kwa kubonyeza hapa ili
       upewe taarifa kwenye simu yako
  HTML http://files.appsgeyser.com/wasapu.apk
       Usibague somo na kupendelea kusoma masomo fulani tu hapana bali
       soma masomo yote kwa nguvu ile ile ili mwishoni uwe na uwanja
       mkubwa wa kuchagua combination au mchepuo wowote unaotaka.
       Acha kuhangaikia mapenzi ukiwa shuleni. Hayo mahusiano
       yatakuharibia maisha yako. Maliza kwanza shule ndipo uanze
       mapenzi.
       Ukiwa kidato cha nne si kwamba sasa wewe ni mkubwa kiasi kwamba
       unaanza kudharau walimu kupiga walimu kupiga wadogo wako hapo
       shuleni hayo matendo mabaya yatakuharibia mwelekeo wako wa
       maisha kwakua hutafaulu vizuri. Mwalimu akigundua wewe unatabia
       mbaya unamdharau hatakupa mbinu za kufaulu mtihani atakuacha
       ufeli ili dunia ikufunze.
       Jisajiri hapa dakika mbili tu kwa kubonyeza hapa
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=1/<br
       />ili utumiwe ratiba kwenye email yako. Kama unasoma hapa kwa
       kutumia simu ya smartphone basi weka app kwa kubonyeza hapa ili
       upewe taarifa kwenye simu yako
  HTML http://files.appsgeyser.com/wasapu.apk
       Mwisho chatguest inawatakia maandalizi mema ya mtihani wa taifa
       kidato cha nne 2016 endelea kufuatilia hapa mpaka ratiba ya
       mtihani wa kidato cha nne 2016 itakapotoka
       #Post#: 3200--------------------------------------------------
       Re: Ratiba ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne 2016
   DIR By: stakeholder
       Date: August 19, 2016, 2:55 am
       ---------------------------------------------------------
       Ratiba ya mtihani wa kidato cha nne NECTA 2016 tayari imetoka
       ipo kwenye jukwaa la elimu humu chatguest
       *****************************************************
       Page 1 of 1