URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ri...
       *****************************************************
       #Post#: 3093--------------------------------------------------
       Habari njema kwa wamiliki wa blog wote. sasa blog yako itakuwa
       ajira tosha
   DIR By: stakeholder
       Date: May 3, 2016, 2:05 am
       ---------------------------------------------------------
       Chatguest.com itakusaidia kupata matangazo ya kuweka kwenye blog
       yako ili ulipwe. Utafiti uliofanya na mtaalam wa blogs umegundua
       asilimia 90 za bloggers yaani wamiliki wa blogs wanakata tamaa
       kuendelea na shughuli hii kwakua hawapati matangazo ya kuweka
       kwenye blog zao ili wapate mapato ya kuendeshea blog hizo na
       kujipatia pesa za kujikimu kwa kazi hii nzuri ambayo unaweza
       kuifanya hata ukiwa umelala. Yaani ukiwa  na simu yako ya
       smartphone unaweza kuendelea kuandika posts kwenye blog yako
       hata kama upo umelala au upo kwenye basi unasafiri au hata ukiwa
       darasani unamsubiri mwalimu aje kufundisha.
       blog ni biashara nzuri kama unapata matangazo yanayokulipa. Sasa
       chatguest.com ni mkombozi wako. Muda wote blog yako itakuwa na
       matangazo na utalipwa vizuri.
       Hakuna masharti magumu kujiunga na huduma hii kama wafanyavyo
       watu na makampuni mengine. Hata kama ndio unaanza kazi yaani
       umefungua blog leo hii unaweza kuweka matangazo ya chatguest.com
       na ukaanza kulipwa.
       Tunataka watu miamoja tu kwanza wa kuwaunganisha na matangazo
       yetu. Kama unamiliki blog na unataka tuweke matangazo haya basi
       andika hapa chini link ya blog yako kisha tutakutumia codes za
       matangazo hapa hapa chatguest kwa njia ya ujumbe wa siri (PM)
       Karibuni.
       #Post#: 3099--------------------------------------------------
       Re: Habari njema kwa wamiliki wa blog wote. sasa blog yako
       itakuwa ajira tosha
   DIR By: Nsolo
       Date: May 3, 2016, 6:49 pm
       ---------------------------------------------------------
  HTML https://yaliyojirishinyanga.blogspot.com
       *****************************************************
       Page 1 of 1