URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Jukwaa la wanafunzi Tanzania (JUWATA)
       *****************************************************
       #Post#: 3087--------------------------------------------------
       Matukio na Taarifa za mtihani wa kidato cha sita 2016 form six
       natinal examinatin results 2016
   DIR By: stakeholder
       Date: April 30, 2016, 10:41 am
       ---------------------------------------------------------
       Matukio na Taarifa za mtihani wa kidato cha sita 2016 form six
       national examination results 2016 tunapeana hapa kuanzia tarehe
       ya kuanza mtihani wa taifa wa kidato cha sita mwaka 2016.
       Hongera kwa kuvumilia mikiki mikiki ya advanced level leval
       mpaka leo hii umeweza kufanya mitihani yako ya kidato cha sita.
       Mshukuru Mungu kwa baraka zake kwani si wote wameweza kufikia
       hatua hiyo.
       Mtihani wa kidato cha sita 2016 uwe mwema kwako na uweze
       kufanikiwa kufaulu na kuendelea na mafunzo ya ngazi za juu.
       Haijalishi ulijiandaaje au unajiandaaje lengo kuu liwe ni
       kufanya vizuri kwenye mtihani wako.
       Fuata mambo haya yafuatayo kwa makini ili uweze kufanya mtihani
       wako vizuri na kufaulu hata kama hukupata muda mzuri wa
       maandilizi kwa miaka yote miwili. Unaweza kuwa kwa uzembe wako
       au mazingira imepelekea kutojiandaa vizuri. Haujachelewa bado
       hata masaa mawili kabla ya mtihani yanaweza kufanya matokeo yako
       kuwa mazuri. Tumia muda uliobaki kusolve past peper, kujadili
       kwenye makundi kujisomea sehemu ambazo unahisi maswali lazima
       yatoke.
       Ukishaingia kwenye chumba cha mtihani tulia usipaniki hata kama
       maandilizi hayakuwa mazuri. Jibu maswali yote bila kuacha hata
       moja. hata kama hujui majibu jaribu kufikilia na kuandika
       chochote ukikumbuka jinsi mwalimu alivyokuwa anafundisha topic
       husika.
       Aiza chatguest.com inawatakia mtihani mwema kidato cha sita wote
       2016. Endelea kufuatilia matukio na taarifa zinazoandikwa na
       wanachama ambao ni kidato cha sita kutoka shuleni kwao.
       Kumbuka hapa tunapeana  Taarifa za mtihani wa kidato cha sita
       2016 form six national examination results 2016 kuanzia tarehe
       ya kuanza mtihani wa taifa wa kidato cha sita mwaka 2016.
       #Post#: 3088--------------------------------------------------
       Re: Matukio na Taarifa za mtihani wa kidato cha sita 2016 form
       six natinal examinatin results 2016
   DIR By: HEZRON
       Date: May 1, 2016, 1:50 am
       ---------------------------------------------------------
       Mola awatangulie na kwa wote mliofanya maandalizi mazuri hakuna
       haja ya kuwa na hofu kila kitu kitakuwa fresh tu jiamini
       #Post#: 3109--------------------------------------------------
       Re: Matukio na Taarifa za mtihani wa kidato cha sita 2016 form
       six natinal examinatin results 2016
   DIR By: stakeholder
       Date: May 5, 2016, 2:50 am
       ---------------------------------------------------------
       Niwakumbushe kidato cha sita wote wanaofanya mtihani wa Taifa
       mwaka 2016
       Zingatia haya
       NOTICE TO CANDIDATES
       1. You are required to appear for the examination(s) at the
       centre(s) under which you are registered unless
       otherwise advised by the Council in writing.
       2. You are required to observe all instructions given to you by
       the Supervisor, Invigilators or Officers of
       the Council responsible for the conduct of the examinations.
       3. If you arrive more than half an hour late for an examination,
       you will not be admitted.
       4. You are required to attend punctually at the time shown on
       your timetable. If you arrive more than half
       an hour late for an examination, you will not be admitted.
       5. After the first half-hour, you may leave as soon as you have
       finished your paper and handed in the
       script to the Supervisor/Invigilator. You may leave the room
       temporarily at any time after the first halfhour
       but only with the permission of the invigilator.
       6. You may bring into the examination room only instruments
       which are specifically permitted. If you are
       suspected of cheating or attempting to cheat, or assisting
       someone else to cheat, the facts will be
       reported to the Council. You may in consequence be disqualified
       from the examination and excluded
       from all future examinations of the Council. Any notes or other
       unauthorised material found in the
       examination room may be retained by the Council at its
       discretion.
       7. Communication, verbal or otherwise, between candidates is not
       allowed during the examination. If any
       candidate wishes to communicate with the invigilator he should
       raise his hand to attract attention.
       8. You must write your examination number correctly on every
       answer sheet of the answer booklet/answer
       sheet used. Using anybody else’s examination number is
       considered a case of dishonesty that may
       lead to cancellation of examination results. Names, initials or
       any other mark that would identify a
       candidate should never be written on answer books or sheets of
       paper.
       9. If you are found guilty of dishonesty in connection with the
       examination you may be disqualified in the
       entire examination.
       10.You should not write any notes on your question paper. Use
       the last pages of your answer booklet to
       do rough work but ensure that you cross to indicate that it is
       not something to be marked.
       11.You should not take anything from the examination room,
       unless instructed otherwise. You should not
       destroy any paper or material supplied in the examination room.
       12.Write in blue or black ink or ball pen. Draw in pencil.
       13.Smoking is not permitted in the examination room.
       14.Private candidates should produce a letter from the Council
       allowing them to sit for the particular
       examination at the prescribed centre, otherwise they will not be
       allowed to sit for examination.
       15.The examination will continue as scheduled even if it falls
       on a public holiday.
       Sorce:
  HTML http://www.necta.go.tz/files/FORM%20VI%202016%20%20%20TIME%20TABLE.pdf
       *****************************************************
       Page 1 of 1