URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Jukwaa la wanafunzi Tanzania (JUWATA)
       *****************************************************
       #Post#: 3017--------------------------------------------------
       Wangapi humu walisoma boding school? 
   DIR By: Nadia
       Date: March 3, 2016, 12:36 pm
       ---------------------------------------------------------
       Aliyesoma boding school kipindi simu adimu sasa asembo kulikuwa
       kunasomwa barua walizotumiwa wanafunzi toka kwa wazazi walezi,
       ndugu jamaa sasa utakuta wenzio kila wiki wanapata baru wewe
       miezi mwaka hujawahi kutumiwa barua je  wale ambao walikuwa
       hawatumiwi barua zikasomwa asembo walikuwa wanafanya nini?
       Aliyesoma boding enzi za barua hawezi kosa swali hili
       #Post#: 3027--------------------------------------------------
       Re: Wangapi humu walisoma boding school? 
   DIR By: Mwelinde modest
       Date: March 6, 2016, 1:51 am
       ---------------------------------------------------------
       Mimi nimesoma shule ya boarding toka kidato cha 1 -1v,yaani
       kipindi hcho simu hazpo ilikuwa taabu xana.
       #Post#: 3042--------------------------------------------------
       Re: Wangapi humu walisoma boding school? 
   DIR By: othuman ndimbu
       Date: March 11, 2016, 2:24 am
       ---------------------------------------------------------
       mara nyingi hujihisi kuwa wametengwa lakini pia ukifuatilia
       wengi wa wanafunzi hao huwa ni watukutu hvyo hujikuta wapweke na
       wenye huzuni
       *****************************************************
       Page 1 of 1