DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ri...
*****************************************************
#Post#: 2965--------------------------------------------------
seebait.com ni mkombozi kwa bloggers wa tanzania
DIR By: master
Date: February 26, 2016, 1:36 pm
---------------------------------------------------------
Tanzania tumepata mtandao wa kupokea na kuweka matangazo seebait
ad network mtandao huu hakika unalipa vizuri kuliko hata google
adsense. Kwa waliojiunga na google adsense nadhani wanakubaliana
na mimi kuwa adsense ndiyo mtandao pekee duniani uliokuwa
unalipa bloggers vizuri. wengine ni wababaishaji tu.
Lakini google adsense bado haikuwa mkombozi wa Tanzania bloggers
kama ilivyo sasa kwa hawa seebait. Sababu ni kwamba google
adsense inawalipa vizuri wanabloggers wanaotumia lugha ya
kingereza kwani keywords zao ndiyo zinazonunuliwa kwa gharama
kubwa kuliko keywords za kiswahili. click ya tanzania ina bei
ndogo ukilinganisha na click ya marekani au kenya. Huu ulikuwa
ubaguzi mkubwa kwa wamiliki wa blog.
Sasa kilio cha bloggers kupata mtandao mzuri wa kupokea
matangazo kimekwisha. seebait imekuja kipekee. inakulipa 1850
kwa kila 1000 impressions hii ni bei nzuri kwa bloggers
ukilinganisha na google adsense inayolipa hado 0.09 kwa 1000
impressions pesa ndogo sana.
Ushauri bloggers wekeni malengo ya kuzifanya blog zenu kuwa
ajira. facebook ilianza kiutani utani lakini leo inatengeneza
mabilioni ya pesa kwa mwezi. Hata wewe unaweza kuwa tajiri kwa
kujiajiri kupitia blog yako hiyo unayoiendesha kwa faida ya
kujulikana na watu tu bila kuwa na malengo ya kupata pesa nzuri
kupitia blog yako hata uweze kununua gari zuri kutokana na pesa
unazopata toka kwenye blog hiyo. Hakikisha unaandika story za
kuvutia watu kwenye blog yako ili upate wafuasi wengi
watakaoitangaza blog yako huko mitaani hatimaye utajikuta
unapokea watu zaidi ya elfu kumi kwa siku na kutengeneza si
chini ya elfu hamsini kwa siku moja kupitia matangazo.
Pia ushauri kwa kampuni ya seebait endeleeni kusaidia bloggers
wafikie malengo kwa kuingia mikataba na makampuni makubwa kama
vodacom airtel tigo wawe wanatangaza kwenye mtandao wa seebait
ili bloggers nao wanufaike pale makampuni haya yanapoweka
matangazo kwenye blogs hizi. Wote tunajua ni ngumu sana kwa
blogger moja anayepata watu miamoja kwa siku kupata matangazo
yatakayomlipa kwenye blog yake lakini kupitia mawakala wa
matangazo kama seebait google adsense au infolinks hata blogger
ambaye kwa siku anapata watazamaji 50 ataweza kuweka matangazo
kwenye blog yake na atapata vijisenti hata vya kununulia mb data
za kumuwezesha kujiunga na internet kila siku na kufanya kazi
yake ya blogging
Kama bado hujajisajiri na see bait basi jisajiri leo upige pesa
kwenye blog yako
*****************************************************
Page 1 of 1