DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ma...
*****************************************************
#Post#: 2961--------------------------------------------------
NATAFUTA MCHUMBA
DIR By: Bundala Khamis
Date: February 23, 2016, 6:32 pm
---------------------------------------------------------
Naitwa Bundala Khamis mkazi wa ushirombo,Geita. Natafuta mchumba
wa kuoa mwenye sifa kama hizi ainishwa;- 1-Mcha mungu na mwenye
hofu na mungu, 2-mwenye kujiheshimu,tabia njema yenye kumpendeza
mungu,mume na jamii inayo mzunguka pia. 3- Umbo la kati, mrefu
kiasi, rangi mweupe au maji ya kunde. 4- Elimu kidato cha 4 na
kuendelea. 5- Sibagui kabila wala ukanda. 6- Mwanamke aliye na
sifa kama hizi, naomba anitafute kwa njia ya baruapepe:
clemancymichael@hotmail.com NB.
Vigezo na masharti kuzingatiwa. Unakaribishwa sana.
#Post#: 3121--------------------------------------------------
Re: NATAFUTA MCHUMBA
DIR By: michael peter
Date: May 11, 2016, 11:01 pm
---------------------------------------------------------
Naitwa Michael Peter naishi dar natafuta mchumba wa kuoa mwenye
sifa km hizi; mcha mungu na mwenye hofu na mungu, mweupe, elimu
kidato cha nn(4) na kuendelea anitafute kupitia 07838778786 au
shijamichael@gmail.com,kigezo na masharti kuzingatiwa
*****************************************************
Page 1 of 1