DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ri...
*****************************************************
#Post#: 2954--------------------------------------------------
Unahitaji kutengeneza blog lakini hujui uanzie wapi au huna
kompyuta. Jipatie blog bure hapa
DIR By: master
Date: February 21, 2016, 11:29 pm
---------------------------------------------------------
Tunatoa huduma ya kutengeneza blog bure kwa mtu binafsi au
shirika au shule au kanisa. Jipatie blog leo uanze kutenegeneza
pesa bila kikomo. Utafundishwa jinsi ya kutengeneza pesa kupitia
blog hiyo. Wewe kazi yako itakuwa kuandika habari mpya angalau
mara tatu kwa wiki.
Tunawasaidia wale tu wenye nia na malengo ya kutajirika kupitia
blog. Sharti moja kubwa lazima blog hiyo iendelezwe. kama una
malengo na nia ya kupata blog andika hapa unataka blog kwa ajili
ya mtu binafsi au shirika au taasisi
Ndani ya siku moja utapata blog yako.
Pia huna haja ya kuwa na kompyuta kama una simu inayoweza
kupokea email inatosha kuandikia blog hiyo.
Anza sasa ktajirika kwa kutumia mitandao ya kijamii. Usipoteze
muda kujadili mambo yasio ya msingi mitandaoni bali tengeneza
kipato na uwe tajiri.
Reply post hii ukielezea unahitaji blog ya nini. elezea pia
interest zako au vitu unavyovipenda sana maishani ili upate blog
itakayokulipa haraka
#Post#: 2958--------------------------------------------------
MIMI NI MTENGENEZA E-MAILS NA BLOGS,
DIR By: Bundala Khamis
Date: February 22, 2016, 11:25 pm
---------------------------------------------------------
Mimi ni mtengeza e-mails na blogs. Tatizo moja tu
linalonisumbua! Sina vitendea kazi kama vile compyuta au simu
yenye uwezo wa kumudu matumizi ya internet. Nia na dhumuni langu
ni kuboresha huduma zangu. Naomba msaada juu ya hili kutoka
kwenu chatguest team. By Wenu Bundala Khamis.
#Post#: 2959--------------------------------------------------
MIMI NI MTENGENEZA E-MAILS NA BLOGS,
DIR By: Bundala Khamis
Date: February 22, 2016, 11:26 pm

Page 1 of 1