URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Jukwaa la wanafunzi Tanzania (JUWATA)
       *****************************************************
       #Post#: 2951--------------------------------------------------
       Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha tano 2016/2017
       form five selection 2016/2017 habari zo
   DIR By: stakeholder
       Date: February 21, 2016, 1:45 am
       ---------------------------------------------------------
       Sasa unatafuta majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na
       kidato cha tano 2016/2017
       Kwanza kabisa hongera kwa kufaulu mtihani wa kidato cha nne
       2015, kama wewe ni mwalimu,mlezi,mzazi ,ndugu au jamaa wa
       mwanafunzi aliyefaulu mtihani huo basi nawe tunakupa pongezi
       pia. . Hapa chatguest  tutakusaidia kukutumia ujumbe mara majina
       hayo yatakapotoka  chakufanya jisajiri hapa
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=167<br
       />kwakutumia email yako ili majina hayo yakitoka tukutumie
       ujumbe
       kwenye email yako. Bonyeza hapa kujiunga kwa dakika moja tu
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=167
       Je wajua kuwa unalipwa ukiwa hapa chatguest? Ukicheza games
       unalipwa, Ukiandika insha unalipwa ukimwambia rafiki atumie
       chatguest unalipwa jisajiri dakika moja tu kwa kubonyeza hapa
       ili ulipwe
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=167
       Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2016
       au selection kidato cha tano 2016 majina hayo yakitoka halafu
       wewe ukawa hujapata shule je unajiandaaje kwa hili? au wewe
       mzazi/mlezi unamwandaaje huyo kijana kuhakikisha anapata haki
       yake ya msingi ya kupata elimu bora.Ningekuwa mimi ningechukua
       form za kujiunga na shule za private kidato cha tano 2016
       angalau hata moja nikaijaza vizuri na kuituma ili nibahatishe na
       ikitokea shule za serikali sikuchaguliwa kutokana na uhaba wa
       shule basi naenda kujiunga na shule binafsi. Kama form five
       second selection 2016 nikabahatika kuchaguliwa basi narudi shule
       ya serikali kama tatizo ni ukubwa wa ada shule hiyo binafsi
       nitakayokuwa nimeenda kuanza masomo.
       Je wajua kuwa unalipwa ukiwa hapa chatguest? Ukicheza games
       unalipwa, Ukiandika insha unalipwa ukimwambia rafiki atumie
       chatguest unalipwa jisajiri dakika moja tu kwa kubonyeza hapa
       ili ulipwe
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=167
       Kila kitu unapokifanya katika maisha lazima uwe na alternative B
       au plan B ili ukikosa plan ya kwanza basi plan ya pili lazima
       itiki isipotiki nayo basi si ridhiki yako au utajaribu tena siku
       nyingine. Siku hizi wanafunzi ni wengi wanaomaliza kidato cha
       nne kutokana na shule za sekondari kujengwa kila kata Tanzania
       nzima lakini shule za advanced ni chache labda uje mpango
       mwingine wa kuongeza madarasa kwenye shule za o level ili
       advanced level nayo iwepo kila kata.
       Je wajua kuwa unalipwa ukiwa hapa chatguest? Ukicheza games
       unalipwa, Ukiandika insha unalipwa ukimwambia rafiki atumie
       chatguest unalipwa jisajiri dakika moja tu kwa kubonyeza hapa
       ili ulipwe
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=167
       Kama hukubahatika kufaulu mtihani wa kidato cha nne 2015 lakini
       ulijituma shuleni katika kujifunza usikate tamaa. Kufeli mtihani
       si kufeli maisha pia unaweza kurisiti yaani kurudia mtihani na
       ukafaulu au ukaenda kujiunga na vyuo vya ufundi ili nawe uweze
       kuendesha maisha yako baada ya kupata ujuzi fulani kama vile
       uselemala, ufundi wa magari, ufundi umeme, vyuo vya maendeleo ya
       jamii vya wananchi vinavyofundisha stadi za kazi na vyuo vingine
       vinavyopokea wanafunzi ambao hawakubahatika kufaulu mtihani wa
       kidato cha nne lakini wanauwezo fulani.
       Je wajua kuwa unalipwa ukiwa hapa chatguest? Ukicheza games
       unalipwa, Ukiandika insha unalipwa ukimwambia rafiki atumie
       chatguest unalipwa jisajiri dakika moja tu kwa kubonyeza hapa
       ili ulipwe
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=167
       Kwa wewe unayeenda kujiunga na kidato cha tano basi kakazane
       kusoma ili uje kufaulu vizuri mtihani wa kidato cha sita na
       kujiunga na chuo kikuu bila kuwa na matatizo. Chuo kikuu nako
       kuna changamoto kama hutafaulu vizuri mtihani wa kidato cha sita
       basi utapata shida kuomba chuo na kusomea kozi unayotaka. usije
       ukajidanganya kuwa advanced masomo ni machache kwahiyo ni mwendo
       wa kula bata utapotea kijana.
       Je wajua kuwa unalipwa ukiwa hapa chatguest? Ukicheza games
       unalipwa, Ukiandika insha unalipwa ukimwambia rafiki atumie
       chatguest unalipwa jisajiri dakika moja tu kwa kubonyeza hapa
       ili ulipwe
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=167
       Wapo waliofaulu mtihani wa kidato cha nne 2015 wakajikuta
       combinations zaidi ya moja zimekubali sasa wanabaki wanajiuliza
       waende wakasomee kombi gani kati ya hizo. nakushauri kwanza
       jitathmini uwezo wako pia angalia soko la ajira linataka nini
       sana. Waulize walimu na walezi na wakubwa wako waliobahatika
       kufika chuo kikuu wakupe ushauri usomee kombi gani kati ya hizo
       ulizofaulu.
       Mwisho chatguest.com inapenda kuwatakia masomo mema waliomaliza
       kidato cha nne 2015 na wanaendelea na masomo ya ngazi inayofuata
       ili kuweza kuja kustahimili kwenye dunia ya leo inayohitaji
       elimu/ujuzi ili kufanikiwa kimaisha. Endelea kutumia
       chatguest.com ufaidike na kulipwa kila unapocheza games humu
       mtandaoni pia unalipwa kila ukimwambia rafiki awe anatumia
       mtandao wa chatguest na unalipwa kila ukiandika insha zenye
       manufaa kwa jamii humu mtandaoni. Majina ya wanafunzi
       waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2016/2017 yakitoka
       utajulishwa kama umejisajiri hapa
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=167
       #Post#: 3133--------------------------------------------------
       Re: Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha tano 2016/2017
       form five selection 2016/2017 habar
   DIR By: stakeholder
       Date: June 24, 2016, 9:32 am
       ---------------------------------------------------------
       Post za kidato cha tano 2016/2017 hizi hapa bofya link kutazama
  HTML http://www.pmoralg.go.tz/selection/index.php
       Kumbuka unalipwa
       kwa kutembelea mtandao huu wa chatguest.om
       Ukishaona jina lako umepangiwa shule gani rudi hapa
       chatguest.com andika shule uliyopangiwa ili upewe blog ya
       kuiongoza ukiwa shule ni hapo na utalipwa pesa nzuri kila mwezi
       Post za kidato cha tano 2016/2017 ndo hizo kasome acha
       usharobalo na kuendekeza ngono uzembe
       #Post#: 3135--------------------------------------------------
       Re: Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha tano 2016/2017
       form five selection 2016/2017 habar
   DIR By: m23
       Date: June 24, 2016, 12:23 pm
       ---------------------------------------------------------
       Post za kujiunga na kidato 2016/2017 mwaka huu je kuripoti
       shuleni kidato cha 5 ni lini?
       *****************************************************
       Page 1 of 1