URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ri...
       *****************************************************
       #Post#: 2940--------------------------------------------------
       Jipatie blog ya shule yako au blog ya kanisa lako bure
   DIR By: CGMarketing
       Date: February 19, 2016, 4:40 am
       ---------------------------------------------------------
       Je Wewe unamiliki kanisa au unamiliki shule binafsi au unamiliki
       shirika basi chatguest ipo tayari kukusaidia ujulikane dunia
       nzima kupitia blog utakayotengenezewa bure na kupata msaada was
       kiufundi bure.
       Mfano unamiliki kanisa tutakufungulia blog kwa jina la kanisa
       lako au kwa jina lako la kiuchungaji. Faida za kuwa na blog ya
       kanisa
       1.utaingiza mapato mengi kupitia matangazo yanayowekwa kwenye
       blog hiyo
       2.Kanisa lako litajulikana duniani kwote na kukufanya upate
       wafadhili
       3. Utakuwa unamtumikia mungu hadi kwa njia ya mitandao ya
       kijamii blog utabadili mioyo ya watu wengi wanaotumia intaneti
       na hawaendi kanisani.
       Faida za kuwa na blog ya shule au shirika ni kama za hapo juu
       kasoro ya tatu
       Jinsi ya kupewa blog kwanza jisajiri hapa www.chatguest.com
       kisha  andika jina la blog unalotaka mfano
       mchunguzisecschool.blogspot.com au
       mchungajirwakatale.blogspot.com utapatablog hiyo ndani ya Siku
       moja
       #Post#: 2947--------------------------------------------------
       Re: Jipatie blog ya shule yako au blog ya kanisa lako bure
   DIR By: Nsolo
       Date: February 20, 2016, 9:49 am
       ---------------------------------------------------------
       Tuna "UMOJA WA WALIMU WASTAAFU MKOA WA SHINYANGA" naomba
       utufungulie blog.
       *****************************************************
       Page 1 of 1