DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Chatguest ads
*****************************************************
#Post#: 2934--------------------------------------------------
Blog inauzwa shilingi elfu tatu tu nunua utengeneze pesa kupitia
matangazo
DIR By: CGMarketing
Date: February 17, 2016, 2:41 pm
---------------------------------------------------------
Nunua blog hii iliyoanza kuingiza pesa ili nawe utajirike. Sasa
blog ni biashara, wengi wamejiajiri kupitia blog. Tunaiuza blog
hii kwa bei ya bure kabisa. kawaida blog ikitengenezwa inauzwa
si chini ya elfu arobaini lakini sisi tunaiuza blog hii kwa bei
ya promotion ni shilingi elfu tatu tu za kitanzania. Miliki blog
hii uanze kutengeneza pesa kupitia matangazo.
Faida ya kununua blog toka team ya chatguest ni kwamba utapata
msaada kila unapohitaji kama vile kusaidia kuiboresha blog hiyo
pia utapata ofa ya kuitangaza blog yako kwenye mitandao yetu
mingi inayotembelewa na watu wengi kwa siku hivyo nawe utapata
matangazo yatakayokulipa kila mwezi.
Itazame blog yenyewe kwanza inavyovutia na inavyotembelewa na
watu kila siku.
Blog yenyewe ni hii maishaboratanzania.blogspot.com inunue sasa
utajirike
#Post#: 2939--------------------------------------------------
Re: Blog inauzwa shilingi elfu tatu tu nunua utengeneze pesa
kupitia matangazo
DIR By: CGMarketing
Date: February 19, 2016, 3:09 am
---------------------------------------------------------
Tayari imeshanunuliwa hiyo blog hapo juu. Kama unahitaji blog
nyingine toa oda hapa utatengenezewa na watalamu wetu ndani ya
Siku moja. Utalipia shilingi elfu tatu tu na sio elfu hamsini
kama wanavyotoza wengine. Faida ya kununua blog hapa chatguest
ni kwamba blog yako lazima ikulipe. Unanunua kwa sh elfu tatu
lakini utatengeneza zaidi ya milioni kupitia matangazo
unayopokea. Pia chatguest inaweza kuweka matangazo yake Mara
ukiwa na watembeleaji wengi na itakulipa
#Post#: 3314--------------------------------------------------
Nahitaji blog!
DIR By: Bundala Khamis
Date: October 31, 2016, 8:01 pm
---------------------------------------------------------
Naitwa Bundala Khamis kutoka pande za Ushirombo-GEITA. Nahitaji
mnitengenezee blogu yenye title nzuri na yakuvutia! je,
Itawezekana?
#Post#: 3316--------------------------------------------------
Re: Blog inauzwa shilingi elfu tatu tu nunua utengeneze pesa
kupitia matangazo
DIR By: stakeholder
Date: November 6, 2016, 9:15 am
---------------------------------------------------------
Karibu utapata blog nzuri na inayosomeka vizuri kwenye simu
kwakua siku hizi watu wengi wanatumia simu kuingia kwenye
mitandao ya kijamii kuliko kompyuta. Hivyo blog yako kama si
rafiki kwenye simu hutapata watembeleaji wengi.Pendekeza majina
matano ya blog unayopenda iitwe kisha tuma kwenda
chatguestforum@gmail.com au jibu hapa hapa hadharani utapata
blog yako ndani ya siku moja
*****************************************************
Page 1 of 1