URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Jukwaa la elimu Tanzania
       *****************************************************
       #Post#: 2806--------------------------------------------------
       Tangazo toka Baraza la mitihani Tanzania kuhusu Usajili wa
       Mtihani wa Kidato cha Nne 2016 na Maarifa
   DIR By: stakeholder
       Date: February 15, 2016, 5:15 am
       ---------------------------------------------------------
       Hili ni tangazo muhimu kuhusu Usajili wa Mtihani wa Kidato cha
       Nne 2016 na Maarifa (QT)
       "Kipindi cha usajili kwa watahiniwa wa Kujitegemea kitaanza
       tarehe 1
       Januari, 2016 kwa ada ya Shilingi 50,000/=kwa wanaojisajili CSEE
       na
       Shilingi 30,000/= kwa wanaojisajili QT na kitaishia tarehe 29
       Februari,
       2016. Aidha watakaojisajili kwa kuchelewa yaani tarehe
       01/03/2016
       hadi tarehe 31/03/2016 watalipa Shilingi 65,000/= kwa watahiniwa
       wa
       Kidato cha Nne (CSEE) na Shilingi 40,000/= kwa watahiniwa wa
       mtihani wa Maarifa (QT) ikiwa ni ada ya kawaida pamoja na
       faini................soma zaidi kwenye link hii
  HTML http://www.necta.go.tz/files/TANGAZO%20-CSEE%202016%20final.pdf<br
       />"
       *****************************************************
       Page 1 of 1