URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Jukwaa la wanafunzi Tanzania (JUWATA)
       *****************************************************
       #Post#: 2804--------------------------------------------------
       Ratiba ya mtihani wa taifa kidato cha sita 2016 hii hapa soma
       ujue tarehe ya kuanza mtihani wa nect
   DIR By: stakeholder
       Date: February 15, 2016, 5:02 am
       ---------------------------------------------------------
       Hii hapa ni ratiba ya mtihani wa taifa kidato cha sita 2016.
       ACSEE 2016 Exam Timetable, soma ili ujue tarehe ya kuanza
       mtihani wa form six 2016.
       Unalipwa kwa kutazama mtandao huu wa chatguest. Jisajili leo
       hapa chatguest ili nawe ulipwe kama wenzio wanavyolipwa. Bonyeza
       hapa kujisajiri ni bure na ni dakika mbili tu
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=1
       Awali ya yote poleni na hongereni wanafunzi wa kidato cha sita
       2016 Tanzania nzima kwa kazi kubwa ya kujiandaa kwa mtihani wa
       kumaliza elimu ya sekondari.
       Tunatumaini kuwa maandalizi si mabaya na wote mnatarajia kupata
       maarifa ya kutosha kuweza kuendeleza maisha yenu na maisha ya
       Taifa kwa ujumla.
       Basi chatguest inawaomba wanafunzi wote Tanzania mlioko kidato
       cha sita kusoma kwa bidiii na kusikiliza yote mema mnayoshauriwa
       na walimu wenu. Huu si muda wa kuendekeza tabia mbaya shuleni
       kama utoro kwenye vipindi, vulugu shuleni, kutotii walimu
       wanaowafundisheni na hata kutowatii walezi wenu au wazazi wenu.
       Nidhamu ni sehemu ya taaluma.
       Wakati mkiwa shuleni tunajua wengi wenu mna simu tena simu kubwa
       kama smart phones hata kama walimu wanawazuia kumiliki simu
       tunajua nyie mnazo na mnazificha hadi kwenye mifuko ya sukari
       eti ili ukaguzi ukipita walimu wasizione wakizani huo mfuko
       unasukari ya kuweka kwenye uji ule mnaopewa hauna sukari na
       wengine huwa wanaweka chumvi ili angalau kuleta ladha kwakua
       hawana pesa za kununulia sukari. Sasa tumia simu yako kwa
       manufaa mfano hapa chatguest unalipwa kila ukimwambia rafiki
       atumie chatguest.com. Pia unalipwa kwa kuandika insha za
       kuelimisha jamii na unalipwa kwa kucheza games hapa
       chatguest.com.
       Jisajili leo hapa chatguest ili nawe ulipwe kama wenzio
       wanavyolipwa. Bonyeza hapa kujisajiri ni bure na ni dakika mbili
       tu
  HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=1
       Ukishajisajili hapo juu anza kuandika makala yoyote humu
       mtandaoni ili ulipwe pia cheza games ulipwe na alika watu
       ulipwe. Kama unashindwa jinsi ya kualika marafiki wajiunge hapa
       chatguest ili ulipwe uliza humu ndani tukusaidie kukufundisha
       jinsi ya kualika marafiki ili ulipwe
       Ratiba ya mtihani wa taifa kidato cha sita 2016 bonyeza hapa
       kusoma
  HTML http://www.necta.go.tz/files/FORM%20VI%20TIMETABLE%202016%20pdf.pdf<br
       />ACSEE 2016 Exam Timetable au download hapa chini uiweke kwenye
       simu yako au kompyuta yako
       #Post#: 3108--------------------------------------------------
       Re: Ratiba ya mtihani wa taifa kidato cha sita 2016 hii hapa
       soma ujue tarehe ya kuanza mtihani wa n
   DIR By: stakeholder
       Date: May 5, 2016, 2:47 am
       ---------------------------------------------------------
       Leo tarehe 5/5/2016 kidato cha sita wanafanya mitihani ifuatayo
       asubuhi
       
       
       Biology 1
       Advanced Mathematics 2
       History 2
       mchana
       English Language 2
       Chemistry 1
       Economics 2
       Wape salamu kwenye mitihani yao hii.
       *****************************************************
       Page 1 of 1